Ingekua wewe ungefanya nini?

Swali la kipumbafu sana hilo






Kumbe tupo wengi tuliochanganyikiwa ndoa.
 
Ole nshenji bhabha
 
Mkeo kakucheat kisa nn em tuanze apo
Hana shukrani, anasema simpi pesa, simtimizii mahitaji yake ya kipesa...

Akiomba laki 3, nampa laki 280 anazira, akiomba laki 5, nampa laki 450, anazira, akiomba milioni , nampa laki ,8 anazira

Siku nyingine nakuja na vizawadi,.mara nimekuja na kuku nyama kitimoto anaanza kutoa kasoro kwanza kuku Gani huyu, mara kitimoto mbona hamna chumvi,
Nmepita huko mitaani nikakuta kitu kizur namchukulia lazima kitiwe kasoro , Kuna siku nlimchukulia chupi, ..mara hii chupi siwez vaa..
 
Kwaio ujui shida nn
 
Si unamchokoza ili muendeleze mlipoishia asubuhi😎
 
Kwenye swala la hela kumpa pungufu yake upo sahihi na akidhira wewe chukua usimpe akiomba tena
 
Relax. Mkeo hakuzini. Ni mawazo yako tu yanakutuma hivyo. Na usijinyonge maana inaonekana una emotional intelligence ya kiwango cha chini sana. Take it easy please. Binti kajua kukurusha roho huyo. Anacheza tu na saikolojia yako huyo πŸ˜‚
Kabisaaa...
 
Kapata ambae anampa na nyongeza sio ww unaepunguza
Alaa kumbe ...Basi ngoja nitafute mzuri zaidi yake atakayetosheka bila nyongeza
na akipata anashukuru na kunipa tamu Hadi asubuhi...Tena naenda tanga kule kwa wadada waliofundwa wakafundika
Haya makapi ya mjini nimewwachia mapedeshee wenye vitambi
 

Hapo rahisi tu, unaenda kumuogesha. Halafu kama ni mmeo, hakikisha unam'beba mpaka kwenye maliwato
 
Alaa kumbe ...Basi ngoja nitafute mzuri zaidi yake atakayetosheka bila nyongeza
na akipata anashukuru na kunipa tamu Hadi asubuhi...Tena naenda tanga kule kwa wadada waliofundwa wakafundika
Haya makapi ya mjini nimewwachia mapedeshee wenye vitambi
Mbona unanifokea
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…