Ingekua vipi!

Ingekua vipi!

ingekuwa vipi watu hawaendi choo dharau zingeua
 
Ingekuwa vipi kama nisingekuwa na smat phone,
Jf na vituko vyake nisingeijua,
 
ingekuwa vipi kama ukipigwa ban unalioia ndo uingie tena
 
Nawaza mambo kwa kina na bado majibu sina, uwezo wa Mods unaonekana wangeamua ingewezekana. Ingekua Vipi kama kila tread mtu anayopost ingekua inalipiwa? Je, ndo ungekua mwisho wa treads za kitoto zisizo na kichwa na miguu? Ingekua vipi kama kusinge kuwa na ban, unadhani nidhamu ingekuepo? Ingekua vipi kama kila member angekua anatumia jina lake kamili, je ndo ingekuwa mwisho wa watu kutoa matatizo yao ya chumbani? Tuendelee na Ingekua vipi
Thread yako ingekua ya kwanza kupigwa chini
 
ingekuwa vipi ningejenga kanisa mana nampenda KRISTU
 
Back
Top Bottom