Ingekua vipi!

Ingekua vipi!

Ingekuwa vip wote ni wanaume?! Ingekuwa vip km tungejua nani anagongwa?!
 
Nawaza mambo kwa kina na bado majibu sina, uwezo wa Mods unaonekana wangeamua ingewezekana. Ingekua Vipi kama kila tread mtu anayopost ingekua inalipiwa? Je, ndo ungekua mwisho wa treads za kitoto zisizo na kichwa na miguu? Ingekua vipi kama kusinge kuwa na ban, unadhani nidhamu ingekuepo? Ingekua vipi kama kila member angekua anatumia jina lake kamili, je ndo ingekuwa mwisho wa watu kutoa matatizo yao ya chumbani? Tuendelee na Ingekua vipi

Ingekua vip ungeandika thread na wala sio 'tread'??
 
ingekuwa vipi kama usingekurupuka kuandka topic yako et kisa upo kwenye daladala na unasmartphone afu dem yuko mbele unataka akuone
 
ingekuwa vipi kama usingekurupuka kuandka topic yako et kisa upo kwenye daladala na unasmartphone afu dem yuko mbele unataka akuone

ungekuwa vipi kama angekuwa kwenye vogue afu demu mpita njia
 
Back
Top Bottom