Ingekua vipi!

Ingekua vipi!

Ingekuwa vipi Asprin angekua kiongozi wa dini?
nadhani waumini wa kike wote wangemkoma
 
Last edited by a moderator:
Ingekuwa vp kama kila member wa jf angetumia avator yenye picha yake kamili.
 
ingekuwa vipi kama ungetulia hivyo ningekupa buku ya supu upumzike

Ingekua vipi kama nikakupa mara elfu ya hiyo alafu nikakuajiri shambani kwangu Kilombero, uka para Miwa for sugar?
 
Ingekua vipi kama nikakupa mara elfu ya hiyo alafu nikakuajiri shambani kwangu Kilombero, uka para Miwa for sugar?

ingekuwa vipi kama ningekuwa nipo finland kwa mchuchu unge tengwa na shamba lako kama jina lako
 
Back
Top Bottom