OSOKONI JF-Expert Member Joined Oct 20, 2011 Posts 10,965 Reaction score 5,344 Sep 21, 2016 #21 AlP0L0 said: Bora niache kazi, lakini ndevu sinyowi. Click to expand... Utanyolewa kwa nguvu ebo!!
Chapa Nalo Jr JF-Expert Member Joined Dec 8, 2010 Posts 7,521 Reaction score 6,517 Sep 21, 2016 #22 Dau kapanda nazo ndege kwenda kutuwakilisha malasia!
MasterP. JF-Expert Member Joined Jun 5, 2013 Posts 8,223 Reaction score 6,719 Sep 21, 2016 #23 Ohoooooo... Serikali sasa inatafuta ugomvi na watu.....
F farkhina Platinum Member Joined Mar 14, 2012 Posts 14,568 Reaction score 16,922 Sep 21, 2016 #24 Umeskia hiyo Maalim Ngekewa?
N Ngekewa JF-Expert Member Joined Jul 8, 2008 Posts 7,705 Reaction score 1,288 Oct 15, 2016 #25 Dadaangu, watu wanapoishiwa na lakufanya hutafuta upuuzi na kufanya issue. Ndevu na sharubu ni mambo binafsi.
Dadaangu, watu wanapoishiwa na lakufanya hutafuta upuuzi na kufanya issue. Ndevu na sharubu ni mambo binafsi.
mbalizi1 JF-Expert Member Joined Dec 16, 2015 Posts 22,592 Reaction score 45,221 Oct 16, 2016 #26 Na bado
Blessingmore JF-Expert Member Joined Jun 14, 2016 Posts 377 Reaction score 394 Oct 16, 2016 #27 RGforever said: Zina Nini Hizo ndevu... Wawaache Watu na Imani Zao Click to expand... Kabisaaa