Pastor Achachanda
JF-Expert Member
- May 4, 2012
- 3,023
- 1,317
Ni wivu tu mkuuNdevu zangu zinawakera nini
Yaani mimi sielewi kama ni kweli au la na hili gazeti limenishangaziHivi Babu Duni naye ana midevu? Nijuavyo ni kwenye majeshi ndio hawaruhusiwi kufuga midevu, lkn kama sheria hiyo ipo serikalini pia, sio mbaya ingawa najiuliza walikuwa wapi siku zote.
Vv
Bora niache kazi, lakini ndevu sinyowi.Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha, ningekuwa kwenye utumishi wa serikali ningejuta, kwa jinsi ninavyozipenda hizi ndevu sijui kama ningezinyoa
Mkuu eleza kile unachokijua sote tujifunze.Acha kuropoka usiyoyajua
Nadhani wataweka picha ya aina ya ndevu zinazotakiwa, maana neno ndevu lina maana pana sana.Bora niache kazi, lakini ndevu sinyowi.
Mkuu nina watoto wananitegemea. Usiniite mchochezi nyakati hizi ni zingine kabisa. Mimi nimeleta tu hiyo picha ya gazeti na sijasema mimi labda mwandishi na mhariri. Sijajua kama ni habari rasmi au la ndio kisa pia nikaileta JF PHOTOSHiyo taarifa ni ya taifa gani?mbona huku ofisini watu wanapendeza kama kawaida na ndevu zetu?mleta huu uzi acha uchochezi wa kijinga.
Hata za Allepo zinyolewe kwa ustadi ukaguzi wa Mara kwa Mara utafanyika maeneo hayoNi za usoni tu au hata za kule 'allepo'?...