Information Management = better crisis management

I thinks the issue suits either side depending on who owns what, where, how and when.

Hakuna crisis maana viongozi wakuu wapo na wana-manage.

Ungekuwa sahihi kama ungesema baadhi ya viongozi wakuu wapo na wana-manage.

Bwana hajaonekana kwa wiki tatu sasa.

Je, anaumwa, au yu buheri wa afya?

Je, ni lini bwana mkubwa ataonekana tena kwa wananchi wake?
 
Imekwisha enzi, kilichobaki ni kuzukwa kwenye shubaka
 
..ungekuwa sahihi kama ungesema baadhi ya viongozi wakuu wapo na wana-manage.

..bwana hajaonekana kwa wiki tatu sasa.

..Je, anaumwa, au yu buheri wa afya?

..Je, ni lini bwana mkubwa ataonekana tena kwa wananchi wake?
Yule Bwana yupo Mafungo kwenye Centre Moja ya Kanisa hapo Mjini Dar es salaam anajiandaaa na Pasaka.
 
Kuna vitu bado sijavielewa lakini nimevisoma hapa.
-PM alisema nini kikawa tofauti na VP kuhusu Magufuli?
-DW wamesema nini jana?
 
Persecution can only transform a man into a hypocrite; belief is legitimately formed only by discernment of sufficient evidence apart from evidence, a man has no right to control the understanding, he cannot determine arbitrarily what his neighbours must believe.! Let them learn the hard way
 
Good riddance!

God is not mocked.

Jiwe alijikuta Mungu kweli
 
Kwa msingi huo, ina maana basi jamaa bado yu hai, siyo?

Manake ingekuwa ni kinyume na hivyo, kwa nini waogope kutangaza?

Ila wanakosea sana.

Imani ya wananchi kwa serikali yao imeshuka sana.
Kuna uwezekano wamepigwa ganzi hawajui wafanye nini.

All signs zinasema huyu mzee hayuko sawa. Ni kwa kiasi gani, hilo inawezekana wanajua watu wachache sana. Unaweza kuta hata PM na VP hawajui, in that environment mnafanya nini? Wanaweza fanya jambo mzee akarudi na hasira zake wakaingia kwenye matatizo makubwa.

Haya manchi ni ya kipumbavu sana, unaweza kukuta hata Cabinet nzima ikawa na sintofahamu kama tulivyo sisi wananchi.
 
Asante sana...

Zinawafikia toka wapi? Kuhusu nini na kumhusu nani?

Maana Rais Magufuli yuko physically fit na anachapa kazi kamà kawaida. Tunataka atoke aende wapi? Kariakoo? Tandika mabatini?.

Si ndo PM alivyosema mbele yetu sote?

Halafu VP akasemaje?

Mh. Rais anawasalimu, afya yake inaendelea vizuri, tusipotoshwe na habari za mitandao...

Hawa ndiyo viongozi wakuu waliopo na wanaoweza kupewa madaraka ya Urais likitokea la kutokea..

Lakini hapa inaonesha wazi kuwa, hakuna coordination katika utoaji wa information. Na haieleweki nani mwenye mamlaka kutoa CLASSIFIED INFOS za serikali kama hii kuhusu afya na uhai wa Rais..

Pia ni kana kwamba kila mmoja ana source yake tofauti ya taarifa kabla ya kuziachilia kwa umma...

Hili halihitaji shule kubwa kuelewa kuwa, huko serikalini hakuko sasa...!!!
 
I concur,

If he's gone that could have made things less complicated.

But imagine if he is neither dead nor alive, that would be a nightmare. Mnafanya nini, maana mnaweza mkaanza movement; and he miraculous gets better, hell has no fury like a half dead man who wakes up na kukuta mnagawana "mali" zake. And how long do you wait until you make a call? What do you tell the public, maana Majaliwa ashajiweka upande wa "yuko fiti", Samia kajiweka kwenye "mafua". Someone is bound to be wrong.
 
Kweli kabisa
 
Asante sana na iwe shule kwetu sote.
 
Ni jana tu niliandika kuwa I had a feeling deep in my bones that the end of the road was near...

And now look....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…