Aisee nimekuelewaBoss uza hiyo simu kuna baadhi ya simu zinatengenezwa kwa ajili ya soko la nchi fulani tu. sasa lakini kuna wajanja wanachukua na kuuza nchi nyingine ambapo sio target ya soko
mfano DOCOMO na AQUOS kwahiyo huduma ya 4G utaipata ukiwa ndani ya Japan tu
Pamoja sana mkuuAisee nimekuelewa
Nenda duka ulilonunulia wakufanyie setting au wakupe simu nyingineKabla ya kuuza hakuna njia nyingine?
| Nimecheki Gsmarena kuna model ina band hizi 1, 3, 5, 8, 38, 40, 41 -Tigo wana band za 4g bamd 20 (800) na band 3 (1800) lakini hio band 3 inapatikana katikati ya jiji tu. -Halotel ni band 7 (2600) Hivyo kama hauishi katikati ya jiji huwezi pata 4g kwenye hio mitandao. TTCL, Vodacom na Airtel wanatumia band 3 (1800) mtandao wowote kati ya hii utashika 4g. |
Niliteseka sana asee kwenye swala la network.kidogo niipige chiniBoss uza hiyo simu kuna baadhi ya simu zinatengenezwa kwa ajili ya soko la nchi fulani tu. sasa lakini kuna wajanja wanachukua na kuuza nchi nyingine ambapo sio target ya soko
mfano DOCOMO na AQUOS kwahiyo huduma ya 4G utaipata ukiwa ndani ya Japan tu
Ulikuwa na simu ya kampun ganiNiliteseka sana asee kwenye swala la network.kidogo niipige chini
Ni kweli Jana nimeingia katikati ya mji imeshika 4g safi.
Nimecheki Gsmarena kuna model ina band hizi
1, 3, 5, 8, 38, 40, 41
-Tigo wana band za 4g bamd 20 (800) na band 3 (1800) lakini hio band 3 inapatikana katikati ya jiji tu.
-Halotel ni band 7 (2600)
Hivyo kama hauishi katikati ya jiji huwezi pata 4g kwenye hio mitandao.
TTCL, Vodacom na Airtel wanatumia band 3 (1800) mtandao wowote kati ya hii utashika 4g.
Naongezea OnePlus, Google Pixels, Lenovo, Pocco (nduguye xiaomi), Sony, LG... Achane na hizo simu tecno, itel na infinix!Uza hyo simu haraka Sana , kanunue simu Kati ya kampuni hzi Redmi , Samsung , iPhone , Oppo au Vivo
Hizo ni simu za wamburu na wairaqwiHabari wakuu,
Nimenunua Infinix smart 6 ya 2/64GB pamoja na kujaribu kufanya settings ili ikae 4G Haikubali ,sijajua nifanyeje ingawaje ndani ya Simu inaonekana inayo 4g kubwa zaidi laini zangu zote tigo na halotel ni 4G na hata Simu iliyopita zilikuwa zinashika 4G.
Mwenye uwelewa msaada Tafadhali.
Uza hiyo simu au hamia mjini, sikuizi mpaka vijijini kuna 4G sasa wewe ili ufaidi 4G utakua unapanda gari unaenda mjini?Ni kweli Jana nimeingia katikati ya mji imeshika 4g safi.