Bodyguard
Member
- Jul 2, 2012
- 27
- 2
- Thread starter
- #21
Tatizo la waswahili ni ethics za kazi. Hawakawii kukusaidia kufumania kweli, halafu kwesho uko kwa shigongo. Kuna ndugu yangu anatumiaga vijana wa pikipiki, na kila siku anamfumania mkewe na kumtimua. Haipiti mwezi wanarudiana, naona ndo style ya maisha yao.
The good thing we are Professionals and not Waswahili. So, no noises. Ni kazi tu na evidences as per ToR.