GE2025 INEC tunaomba ufafanuzi kwenye hili

GE2025 INEC tunaomba ufafanuzi kwenye hili

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Nyie wajinga mtalishwa mavi ya mitandaoni mpaka lini?
Leo Mange anawalipisha kinyesi, kesho mkojo, keshokutwa DAMU ya hedhi.
Kila kituo kilikuwa na watu wa kuhesabu. Kwani zote zilihesabiwa na mwenyekiti wa INEC?
Mara oooh mtandao ulizimwa walitumaje matokeo. Serikali inaweza kukuzimia mdandao wewe huku mambo yake nyeti yakisonga bila kusita. Kama kwenye gari za doria tu wamegunga mitambo ya mawasiliano isiyotumia mkongo wa Taifa kwanini ushangae hili?
Wewe malaya unafanya nini humu wakati serikali yako imeifungia JF? Wewe ni mhaini umevunja sheria unyongwe
 
Tume yetu ya uchaguzi iko vizuri sana!

Ukichukua kura 31,900,000 zilizopigwa tarehe 29/10/2025
Ukazigawa kwa masaa48 (siku mbili za kuhesabiwa, Tarehe 30/10/2025 na 31/10/2025) Halafu ukazigawa kwa dakika60

31,900,000 ÷ 48 ÷ 60 = 11,076

Kwa dakika1 Tume ilihesabu kura 11,076.
Tuwekeni hoja za msingi wakuu.

Suala la Kura 31M kuhesabiwa kwa masaa 48 ni simple tu kwamba kila kituo kinahesabu kura zake.

Sio kwamba kura zote zinahesabiwa sehemu moja baada ya kukusanywa Nchi nzima.

Baada ya kura kupigwa kila kituo huhesabu kura hizo kuanzia saa 10 mpaka wanamaliza,so ni simple sana kuhesabu kura milioni 31 kwa mfumo huo..
 
ndio maana tunasema hii serikali imekosa uhalali kikatiba.
 
Back
Top Bottom