matokeo uchaguzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PureView zeiss

    JamiiForums Tanzania GE2025 INEC tunaomba ufafanuzi kwenye hili

    Tume yetu ya uchaguzi iko vizuri sana! Ukichukua kura 31,900,000 zilizopigwa tarehe 29/10/2025 Ukazigawa kwa masaa48 (siku mbili za kuhesabiwa, Tarehe 30/10/2025 na 31/10/2025) Halafu ukazigawa kwa dakika60 31,900,000 ÷ 48 ÷ 60 = 11,076 Kwa dakika1 Tume ilihesabu kura 11,076.
  2. Suley2019

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Simiyu: Upigaji kura wasifiwa kwa kwenda kwa amani na utulivu

    Wajumbe wa Kamati ya Amani Mkoa wa Simiyu, wakiongozwa na Kaimu Shekh Issa Kwezi, wameeleza kuridhishwa na zoezi la upigaji kura lililofanyika jana Novemba 27, 2024. Shekh Kwezi amesema kuwa ulinzi na usalama viliimarishwa, na wapiga kura walienda vituoni kupiga kura kwa utulivu bila...
Back
Top Bottom