Indonesia: Watu 141 wakamatwa kwa kuhudhuria sherehe ya wapenzi wa jinsia moja

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,410
_96155002_lgbt2.jpg

Polisi nchini Indonesia waliwakamata wanaume 141 ambao walikuwa wanahudhuria sherehe ya wapenzi wa jinsia moja katika mji mkuu wa Jakarta, siku ya Jumapili.

Polisi wanasema kila aliyehudhuria, akiwemo raia mmoja wa Uingereza na mwingine wa Singapore walilipa kiingilio cha rupia elfu 185 (Dola 14; Pauni 10).

Indonesia imeshuhudia kuongezeka kwa chuki kwa dhidi ya wapenzi wa jinsia moja.

Mapenzi kati ya watu wa jinsia moja sio marufuku kulingana na sheria za Indonesia, isipokuwa katika mkoa wa kihafidhina wa Aceh.

Lakini msemaji wa polisi wa Jakarta Raden Argo Yuwono alisema baadhi ya wale walio kizuizini wanaweza kushtakiwa chini ya sheria kali ya Indonesia ya kupambana na vitendo vichafu.

"Baadhi yao walipatikana wakiwa wamevua nguo na wakishiriki ngono na wengine kujipiga punyeto wakati wa tukio," aliiambia BBC Indonesia.

Chini ya sheria hizo kali za Indonesia, kuandaa onyesho kama hili ili kuwatumbuiza watu inaweza kufasiriwa kama kosa la kutenda kitendo kichafu eneo la umma.

Wiki iliyopita, wanaume wawili walihukumiwa kuchapwa viboko mbele ya umma katika mkoa wa Aceh, baada ya kupatikana wakifanya ngono.

Sheria kali dhidi ya uhusiano wa kimapenzi kati ya watu wa jinsia moja zilianza kutekelezwa nchini humo mwaka wa 2014.

Mapema mwezi huu, polisi huko Indonesia waliwatia mbaroni watu 14 katika mji wa Surabaya.
 
Yani hapo ilitakiwa kupiga bomu moja na kusambaratisha kichwa kiwiliwili pamoja na ubongo
 
Waarabu ndo shughuli yao hiyo hata huu ukanda wa pwani mikoa ya tanga dar Zanzibar Lindi Mombasa lamu uchafu huu in mwingi.pia waislamu wanasema mwanamke ana matundu saba hayo yt no halali yake
 
Waarabu ndo shughuli yao hiyo hata huu ukanda wa pwani mikoa ya tanga dar Zanzibar Lindi Mombasa lamu uchafu huu in mwingi.pia waislamu wanasema mwanamke ana matundu saba hayo yt no halali yake
Ila dini yenu imehalalisha kabisa na kuoana wanaume kwa wanaume Tena viongozi na vyeti munapeana. Kufanya dhambi ni sifa ya mwanaadamu ila kuhalalisha dhambi mhhh Yesu alisema Aliemsafi bila ya dhambi awe wa kwanza kupiga mawe (and the one without sin be the first to cast the stone)
 
Waarabu ndo shughuli yao hiyo hata huu ukanda wa pwani mikoa ya tanga dar Zanzibar Lindi Mombasa lamu uchafu huu in mwingi.pia waislamu wanasema mwanamke ana matundu saba hayo yt no halali yake
Huko shule ulikwenda soma ujinga?Indonesia ,sio nchi ya kiarabu,ni Indonesia hivyo hivyo na ndio utaifa wao.Na ukanda wa Pwani wakristo pia wapo,na ndio hao unaosema ni wa jinsia moja
 
Back
Top Bottom