INDONESIA : Wachapwa viboko 22 kwa kushiriki tendo la ndoa bila ya kufunga Ndoa.

As Salafiyyu91

JF-Expert Member
Jan 11, 2014
2,537
2,526
Nchini Indonesia Vijana Wachapwa viboko 22 kisha watupwa jela kwa kushiriki ‘tendo la ndoa’ bila kufunga ndoa.

Ni Wanaume watano pamoja na wapenzi wao walitandikwa viboko 22 hadharani kwa kutumia fimbo ya muanzi nje ya msikiti kwenye mji wa Banda Aceh, nchini Indonesia na hii ni baada ya kukaa miezi kadhaa gerezani.

Toa Maoni Yako.
FB_IMG_1553256840505.jpg
FB_IMG_1553256850877.jpg
FB_IMG_1553256859114.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
safi sana wazinzi wakubwa hao tena washukuru hawana ndoa ingekuwa wanayo wangepigwa hadi wafe
 
Back
Top Bottom