Eugen TZA
Member
- Aug 7, 2023
- 61
- 98
Nchi ya India wamezindua (Mission) yao ya kwanza kuelekea kulichunguza Jua juu angani baada ya kutua mwezini katika siku za hivi karibuni, Chombo chao cha angani kumepaa kutoka Sriharikota India kikisafiri kwa safari ya Kilomita 1.5 Milioni mbali na Dunia.
Baada ya miezi minne ya safari chombo hicho kilichopewa jina Aditya-L1 kitafika juani kikilichunguza jua kwa karibu na uchunguzi huo utakua na manufaa na faida sio tu kwa India bali jumuiya nzima ya watafiti na wanasayansi Duniani, Ni muendelezo wa nchi mbalimbali kuongeza wigo wake wa kutafiti na kutafuta maisha Nj'e ya Dunia.
#PeaceOverInterest