Mzawa_G
JF-Expert Member
- Feb 27, 2014
- 669
- 1,479
Shirika la uchunguzi wa mambo mbalimbali ya anga za mbali duniani ambalo linapatikana nchini Marekani NASA hatimaye siku ya jana wameweza kutangaza majina manne ya wanaanga watakao hudumu kwenye mission ya kurudi mwezini Artemis II
Ilikuwa ni jambo la furaha kwa wanaanga hao maana ilikuwa ni kundi kubwa la wanaanga 30 hivyo ni furaha kwa wanaanga hao wanne kuona majina yao yamechaguliwa kwenye mission hiyo kubwa ya kihistoria
[emoji3581] Gregory Reid Wiseman _ huyu atakuwa ndio mission commander au kiongozi mkubwa wa mission nzima na ndio atakuwa anapokea taarifa zote na commands zote kutoka duniani na ni mwanaanga wa NASA
[emoji3581] Victor J Clover _ huyu atakuwa kama ndio Pilot wa Chombo kizima cha kuelekea huko mwezini mambo ya manuevering yote kuelekea kwenye trajetories zinazohitajika zitafanywa na jamaa ambaye anamuonekano wa rangi nyeusi
Moja ya rekodi iliyombeba ni ameendesha vyombo mbalimbali vya anga kama ndege kwa jumla ya masaa 3,000
Mwanaanga wa Marekani kutoka NASA .
[emoji3581] Christina Koch _ Atakuwa kama Mission specialist wa safari nzima huku akiwa ana rekodi matukio na kufanya chunguzi nyingi za katika safari nzima , kumbuka mwanadada huyu amesomea mambo ya umeme , kiufupi ni electrical engineer , Mwananga wa NASA
[emoji3581]Jeremy Hansen _ Mwanaanga wa shirika la anga la Canada CSA , huyu atakuwa kama Mission specialist ambapo pia atasaidiana na mwanadada Christina Koch kufanya analysis mbalimbali katika safari nzima na kufanya tafiti fupi kuhusu waliyoyaona safarini
Safari itafanyika Mwezi wa 11 Mwakani 2024 kwa sasa mafunzo mazito yataendelea kwa wanaanga hawa katika harakati za kufahamu chombo watakachoenda nacho huko katika moja wapo ya maumbo yanayopatikana angani ambapo sisi tumeipa jina la mwezi
Kumbuka safari za mwezini ni moja ya safari ambazo ni ngumu sana kwa chombo hata kwa wanaanga sababu ni lazima kuwe na chombo imara kitakachowalinda wanaanga dhidi ya extremely radiations mbalimbali kutoka katika Jua letu
Go NASA go Artemis II to the Moon
[emoji419]Moudyswema
[emoji419]Tanzaniascienceyetu
[emoji419]AstronomyKiswahili