Rutatinisibwa
Senior Member
- Aug 22, 2011
- 109
- 42
Asante Mkuu kwa ushauri mzuri! ....ya kutotolesha ka mayai 1,500 hiviMkuu achana na incubator za kienyeji, nakushauri tumia incubator za kisasa zenye kuaminika. Unahitaji incubator ya ukubwa gani?
Hope uko very serious. Uko wapi mkuu??Asante Mkuu kwa ushauri mzuri! ....ya kutotolesha ka mayai 1,500 hivi
Yeah iam serious Bro, nipo MorogoroHope uko very serious. Uko wapi mkuu??
We're agents of onelye here in Tanzania. we supply several poultry equipments including incubators.Yeah iam serious Bro, nipo Morogoro
Thanks Bro! ....I'm so pleased!We're agents of onelye here in Tanzania. we supply several poultry equipments including incubators.
ingia kwenye website ya Poultry Incubator|Egg Incubators|Chicken Cages Manufacturer utaona products zetu. Tupo sabasaba kipindi hiki. Karibu sana. nitakupm namba yangu soon
Haujani-PM Kaka!We're agents of onelye here in Tanzania. we supply several poultry equipments including incubators.
ingia kwenye website ya Poultry Incubator|Egg Incubators|Chicken Cages Manufacturer utaona products zetu. Tupo sabasaba kipindi hiki. Karibu sana. nitakupm namba yangu soon
Angalia tena. nilikupm muda ule ule mkuu na nimekutumia tenaHaujani-PM Kaka!
Ninauza ya kisasa 1400Asante Mkuu kwa ushauri mzuri! ....ya kutotolesha ka mayai 1,500 hivi
Nilisahau kukuuliza ki2 ingine! ...naweza kupata inayotumia Solar?...na kwa ya mayai kama 240 itakuwa bei gani?Angalia tena. nilikupm muda ule ule mkuu na nimekutumia tena
Weka contact hadharani ufanye biashara basi. Utafikiri unauza bangi bwana!!We're agents of onelye here in Tanzania. we supply several poultry equipments including incubators.
ingia kwenye website ya Poultry Incubator|Egg Incubators|Chicken Cages Manufacturer utaona products zetu. Tupo sabasaba kipindi hiki. Karibu sana. nitakupm namba yangu soon
HahahaaaaaaaWeka contact hadharani ufanye biashara basi. Utafikiri unauza bangi bwana!!
Mbona hujaweka mawasiliano yako hapo mkuu
Hizi ni sample za mashine zetu tunaunda wenyewe
Na hizi ni bei zetu