Incredible Maths! - (II) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Incredible Maths! - (II)

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by GP, Jul 21, 2009.

 1. GP

  GP JF-Expert Member

  #1
  Jul 21, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  je unataka kuzidisha namba kwa 11, hujui table au huna calculator?.
  usipate tabu.
  chukua namba hiyo, itenge katikati, kisha chukua jumla ya digit hizo then unganisha pamoja.

  mfano 1: 45 * 11
  tenga 45: 4_5
  chukua jumla
  : 4_(4+5)_5
  : 4_9_5
  unganisha
  : 495

  mfano 2: 89 * 11

  tenga 89
  : 8_9
  chukua jumla >> 8_(8+9)_9
  : 8_17_9 kwakua jumla ambayo ni 17 ina digit 2, tenga toka kulia acha digit moja yaani 1_7, chukua ya kushoto jumlisha kwa namba ya nje, yaani 1+8= 9
  utapata
  : 9_7_9
  jibu
  : 979

  mfano 3: 122 * 11
  tenga acha digit moja kulia
  : 12_2
  chukua jumla
  : 12_(12+2)_2
  : 12_14_2
  tenga kati
  : 1_4, jumlisha ya kushoto kwa ya nje yaani 1+12=13

  utapata
  : 13_4_2
  jibu
  : 1342


   
 2. Makanyaga

  Makanyaga JF-Expert Member

  #2
  Jul 21, 2009
  Joined: Sep 28, 2007
  Messages: 2,501
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Incredible yes! Ila bahati mbaya nadhani wewe siyo mwalimu, more likely a genius of some kind! Ni vigumu kumwelewa genius kwa sababu mengi ya maelezo ya kile anachotaka kusema huwa anabaki nayo kichwani. Tofauti na mwalimu yeye huwa anaporomosha yote habaki na ktu!
   
 3. A

  August_Shao Senior Member

  #3
  Jul 23, 2009
  Joined: Nov 23, 2007
  Messages: 158
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  actually huyu jamaa anachofanya hapa ni kuexpand njia ndefu ya kuzidisha...ila kama sio kwa 11 pekee basi asingeweza lolote....jaribu kuzidisha kwa njia ndefu 53 * 11 then utagundua kwamba 53
  *11
  _______
  53 this part ukiangalia vizuri kuna kaaujanja
  + 53 ka shule za msingi...
  ____________
  583
   
 4. Miss-Thang

  Miss-Thang JF-Expert Member

  #4
  Jul 23, 2009
  Joined: Mar 4, 2009
  Messages: 361
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 60
  Too much work..
  Kwa nini usitumie tuu njia tuliyofundiswa shule ya msingi? It takes less than a minute to do that..LoL!
   
 5. GP

  GP JF-Expert Member

  #5
  Jul 24, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  this is advanced level, hujui maths nini? nikikuletea fourier series, derivatives, algebra etc si ndio utazimia kabisa?
   
 6. V

  Vakwavwe JF-Expert Member

  #6
  Jul 24, 2009
  Joined: May 16, 2009
  Messages: 507
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Si kweli....bila njia hii and of this kind hutafaulu quiz za hisabati...try learn them u'll meet them on ur way developing ur career.
   
 7. GP

  GP JF-Expert Member

  #7
  Jul 24, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  baelezee baelewe bana.
   
 8. Miss-Thang

  Miss-Thang JF-Expert Member

  #8
  Jul 24, 2009
  Joined: Mar 4, 2009
  Messages: 361
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 60
  I don't worry about that..Maths ninayoijua inanitosha kwenye shughuli zangu...
   
 9. Miss-Thang

  Miss-Thang JF-Expert Member

  #9
  Jul 24, 2009
  Joined: Mar 4, 2009
  Messages: 361
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 60

  Quiz za Hesabu nilikua nazifaulu vizuri tuu bila hiyo njia...I got a career, na hiyo njia haitanisaidia in any way ku-develop...Thank you!
   
 10. K

  Kenge (Eng) JF-Expert Member

  #10
  Jul 24, 2009
  Joined: Dec 7, 2006
  Messages: 502
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Hakuna formula yoyote hapo. Ni utundu tu. Si shauru watoto watumie ujinga huu.
   
 11. GP

  GP JF-Expert Member

  #11
  Jul 27, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  huwezi kupitia hesabu kama hizi kama una career yako ni hesabu za kuuza nyanya, then wont help you at all!!, kama umeipenda poa kama hujaipenda ipotezee teh teh heh tehh. [​IMG]
   
 12. GP

  GP JF-Expert Member

  #12
  Jul 27, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  sio ujinga, ndio maana wabongo hamjui hesabu, maths ni ugonjwa kubwa sana kwa wanafunzi wa tanzania, ndio maana wengi wanakimbilia siasa na masomo ya kike, Yes! hesabu hakuna kichwani, hesabu yataka kuumiza kichwa sio lele mama weweee!.
  take care.
   
 13. J

  Jafar JF-Expert Member

  #13
  Jul 27, 2009
  Joined: Nov 3, 2006
  Messages: 1,138
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  George - kudos for this teaser. Usisikilize watu ambao wanapenda labda wangeleta wao hii joke hapa wangetaka wasifiwe.
  Kipu iti apu joji.
   
 14. Miss-Thang

  Miss-Thang JF-Expert Member

  #14
  Jul 27, 2009
  Joined: Mar 4, 2009
  Messages: 361
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 60
  Unfortunately hapanilipo i went through a lot of Maths...
  Anyways...I think I was supposed to congratulate u for Being Sooo Smart...My Problem is, am just lazy, don't like to think much...
  Keep it Up and All the Best!
   
Loading...