Inchi inaongozwa na wanawake: Naona sasa ile 50/50 imepitiliza. Naona kama sio sawa

Kumbe ndo maana nchi imelegalega.hakuna kiongozi yeyote amejitokeza kuongelea kuhusu tozo,kupanda kwa vifaa vya ujenzi na wizi wa Mali za umma.yote haya ni kujaza wanawake ambao wengi wao hawana uwezo wa kuongoza

Sent using Jamii Forums mobile app

E9F99473-F5CE-403B-B402-3D26379F93C5.jpeg
 
Kikubwa Uongozi wao ulete maendeleo na Haki kwa Taifa
labda kama MACHO, MASIKIO, PUA, ULIMI NA UBONGO Vitahamia MATAKONI.
Vinginevyo kichwa kitabaki kuwa kichwa tu. Na Mwenyezi Mungu aliisha sema,,,,, MWANAUME NI KICHWA.
 
ccm itapita 2025 kwa urahisi mno maana wanawake wataenda kuwapigia kura wanawake wenzao plus akina JK wanasubir watoto wao wapokee kijiti , watasaidia goli la mkono
IMEISHAPITA........... Tuangalie miaka ya mbele zaidi ya hapo.
 
Kilichosababisha yote hayo ni hekima za wanaume maana wanawake hawakwenda hapo kwa mabavu wala mtutu. Tumeambiwa kuishi na wanawake kwa akili kazi iliyo mbele yetu ni kujiuliza kama bado tuna salio la akili vichwani kazi iendelee.
 
Naskia inapangwa Mwenyekiti wa Taifa wa Chama Kikuu cha Upinzani Mwanamke wakati Mzee atakuwa anatumia kifungo cha miaka mitatu cha kukutwa na hatia kwny kadhia ya Ugaidi inayomkabili
 
labda kama MACHO, MASIKIO, PUA, ULIMI NA UBONGO Vitahamia MATAKONI.
Vinginevyo kichwa kitabaki kuwa kichwa tu. Na Mwenyezi Mungu aliisha sema,,,,, MWANAUME NI KICHWA.
Sasa hivyo vichwa mbona vimeshindwa kuleta maisha bora kwa miaka 60 acha tujaribu viwili wili,,,,mimi huu ujinga ushanitokaga sasa hivi wanawake wanaweza kila nyanja wapo akina mama shupavu wanasaka pesa hadi mwanaume haoni ndani!! Siku hizi mpaka wanatulea" Marioo"
 
Hivi ikitokea nyie wamama ktk ubora wenukwenye hizo nyazifa nyeti, mkapata mabwana uarabuni,,,,,,,,,unadhani hii nchi itabaki salama kweli?
 
Igp Ajae baada ya Siro ni mwanamke.
Je atakuwa na ujasiri wa kuwapiga mabomu chadema Ili waibe kura?
 
SAFU YA VIONGOZI WANAWAKE TANZANIA

Rais Mwanamke...

Spika Mwanamke...

Waziri wa ulinzi Mwanamke.

Waziri wa mambo ya nje Mwanamke.

Waziri wa Afya Mwanamke.

Waziri wa Ardhi Mwanamke.

Waziri wa nchi ofisi ya Raisi Mwanamke.

Waziri wa Kazi Mwanamke.

Waziri wa Biashara na Viwanda Mwanamke.

Waziri wa Maendeleo ya jamii Mwanamke.

Kamishna Uhamiaji Mwanamke.

Wanaume sasa tutulieni kama wachezaji wa akiba!

Ongezea list ya viongozi wanawake mamlaka ziamke.
Wala usipaniki. Tunawaoa na maamuzi ya serikali yanafanywa na wanaume kitandani. Hao wanawake ni loudspeakers tu.
 
Back
Top Bottom