Inbox ya mchumba wangu inameseji nyingi za kutongozwa za wanaume

halloooooo members,
jamani siki moja nimeachiwa simu na mchumba wangu nikitaka kuitumia cheka vodacom aliyojiunga kumpigia ndugu yangu, baada ya kumaliza kupiga simu nikatazama meseji za mchumba (curiosity), duh kuna meseji nyingi sana za wanaume wanamtongoza wengine appointment, wengine wanamsifia, wengine missing u nk nilichoka nikagugumia life likasonga, siishi naye(note that). sasa nikasema let me try to visit her inbox siku nyingine, majanga yakawa yaleyale.....nikamuuliza anajibu tu kwamba yeye ni mwanamke so kutongozwa ni kitu cha kawaida sana.hapapana usalama wadau????
maoni yenu hapa
Wenzio tukiona tuliye naye hatongozwi tunakuwa hatuna amani. Tunajiuliza inamaana nimebeba mzambia au ni kimeo kiasi kwamba hakuna anayemtaka?? Mimi nakushauri utulize moyo. Manake hata ukimwacha ukatafuta unayefikiri hatatongozwa utashangazwa zaidi. Cha msingi ni uwe na mchumba mwenye msimamo thabiti. Hilo ndo la muhimu.
 
halloooooo members,
jamani siki moja nimeachiwa simu na mchumba wangu nikitaka kuitumia cheka vodacom aliyojiunga kumpigia ndugu yangu, baada ya kumaliza kupiga simu nikatazama meseji za mchumba (curiosity), duh kuna meseji nyingi sana za wanaume wanamtongoza wengine appointment, wengine wanamsifia, wengine missing u nk nilichoka nikagugumia life likasonga, siishi naye(note that). sasa nikasema let me try to visit her inbox siku nyingine, majanga yakawa yaleyale.....nikamuuliza anajibu tu kwamba yeye ni mwanamke so kutongozwa ni kitu cha kawaida sana.hapapana usalama wadau????
maoni yenu hapa

Hayatuhusu. This is your private business.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom