Inbox ya mchumba wangu inameseji nyingi za kutongozwa za wanaume

HAZOLE

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
1,551
708
halloooooo members,
jamani siki moja nimeachiwa simu na mchumba wangu nikitaka kuitumia cheka vodacom aliyojiunga kumpigia ndugu yangu, baada ya kumaliza kupiga simu nikatazama meseji za mchumba (curiosity), duh kuna meseji nyingi sana za wanaume wanamtongoza wengine appointment, wengine wanamsifia, wengine missing u nk nilichoka nikagugumia life likasonga, siishi naye(note that). sasa nikasema let me try to visit her inbox siku nyingine, majanga yakawa yaleyale.....nikamuuliza anajibu tu kwamba yeye ni mwanamke so kutongozwa ni kitu cha kawaida sana.hapapana usalama wadau????
maoni yenu hapa
 
sasa si ushukuru Mungu kwamba umepoint???
hujui wenzio majanga kwamba kila wakipoint anayekuwa ameona uzuri ni yy mwenyewe?
 
Kupenda ugonjwa wa moyo, katika kitu sitamani basi nikukutana na mrembo then nika fall in love. Pole sana mkuu wadada wa mujini kuwa na bwana zaidi ya mmoja ni kawaida.
 
Tafuta binti aliyekulia ktk makuzi mema ya kijijini,huyo pasua kichwa
 
Tafuta binti aliyekulia ktk makuzi mema ya kijijini,huyo pasua kichwa

Usimpe mtu maelekezo nusu, yatamponza.

Akishachukua binti wa kijijini, akija naye mjini amfungie ndani kama wanavyofanya Waarabu kwa wake zao. Ahakikishe haoni TV wala kuongea na majirani. Mahitaji ya nyumbani afuate yeye kama Mpemba, kwani nje bibie mwali hatakiwi kutoa sura. Hapo itawezekana.

Vinginevyo, huyo mshamba akija kujanjarukia kwake, hakuna rangi ataacha kuona.

Nina BURQA nauza kama atataka. Manake akijua kuvaa kimini huyo kazi imeharibika
 
Hapo usalama ni F....,
ofcourse kutongozwa ni kitu cha kawaida,
lakin I miss you na mengine umeshindwa kuyasema
that means alishavuka stage ya kutongozwa siku nying.....

wanasema ukiona Manyoya ...........,

unaeza malizia kimya kimya
 
We unataka ule peke yako? Kizuri kula na wenzio bana. Kama vp tupia namba yake hapa watu tukapige kazi!
 
Kwa nini uwe na mke au mchumba wa kwako pekee yako, ina maana umeoa au una mchumba mmbaya. Ukiona mkeo au mchumba wako anatongozwa jua una "chuma" ila mshauri asitoe.
 
hahahahahha sina mbavu

Usimpe mtu maelekezo nusu, yatamponza.

Akishachukua binti wa kijijini, akija naye mjini amfungie ndani kama wanavyofanya Waarabu kwa wake zao. Ahakikishe haoni TV wala kuongea na majirani. Mahitaji ya nyumbani afuate yeye kama Mpemba, kwani nje bibie mwali hatakiwi kutoa sura. Hapo itawezekana.

Vinginevyo, huyo mshamba akija kujanjarukia kwake, hakuna rangi ataacha kuona.

Nina BURQA nauza kama atataka. Manake akijua kuvaa kimini huyo kazi imeharibika
 
Tafuta binti aliyekulia ktk makuzi mema ya kijijini,huyo pasua kichwa

mkuu BONGOLALA naona kweli bongo lina koroma!Sio cha jijini au mjini wote magwaride wana jua kuyacheza nyie ndio mnao jidangaya eti bikra zipo kijijini!...
 
Last edited by a moderator:

kutongozwa mtt wa kike ni kawaida
ila sms ya mtu ambae hana mpango nae
ni lazima aifute,yeye anawezaje kuacha,ina
maana hua anarudia kuzisoma na zinamkosha!!
bila shaka mambo mseto hapo,mpo wengi bro!!jikatae tartibu!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom