Inbox ya mchumba wangu inameseji nyingi za kutongozwa za wanaume

Hapo usalama ni F....,
ofcourse kutongozwa ni kitu cha kawaida,
lakin I miss you na mengine umeshindwa kuyasema
that means alishavuka stage ya kutongozwa siku nying.....

wanasema ukiona Manyoya ...........,

unaeza malizia kimya kimya
Heaven on earth naomba kueleweshwa vizuri hapo, kuna watu wengine wana tabia ya kutumia "I miss you" while hawajakubalika hata
 
Kama hutaki atokewe tengeneza wakwako na ukakae nae mabwepande!!!
 
halloooooo members,
jamani siki moja nimeachiwa simu na mchumba wangu nikitaka kuitumia cheka vodacom aliyojiunga kumpigia ndugu yangu, baada ya kumaliza kupiga simu nikatazama meseji za mchumba (curiosity), duh kuna meseji nyingi sana za wanaume wanamtongoza wengine appointment, wengine wanamsifia, wengine missing u nk nilichoka nikagugumia life likasonga, siishi naye(note that). sasa nikasema let me try to visit her inbox siku nyingine, majanga yakawa yaleyale.....nikamuuliza anajibu tu kwamba yeye ni mwanamke so kutongozwa ni kitu cha kawaida sana.hapapana usalama wadau????
maoni yenu hapa

Inbox haina shida, sent items ndio kuna ukweli lakini sikushauri kwenda huko kuepuka magonjwa ya moyo..
 
Relation za hivyo zinaumiza sana....hata kama yeye ni mwanamke lakini sasa ndo anatongozwa na watu kibao.....mademu wa hivyo sa nyingine inakuwa utoto au ushamba(ulimbukeni).....we mkazie sura mwambia aache utoto kama huwezi mwambie utampiga chini...saa nyingine tuwe tunajitahidi kuona mambo kabla... mtu kama huyo ukifanya mistake ukiingia nae kwenye ndoa atakusumbua kishenzi kwa mambo ya kitoto kitoto...... kuna mambo unatakiwa uwe ki-conservative zaid kwenye relationship...ni madogo lakini unatakiwa kuwa mkali...
 
halloooooo members,
jamani siki moja nimeachiwa simu na mchumba wangu nikitaka kuitumia cheka vodacom aliyojiunga kumpigia ndugu yangu, baada ya kumaliza kupiga simu nikatazama meseji za mchumba (curiosity), duh kuna meseji nyingi sana za wanaume wanamtongoza wengine appointment, wengine wanamsifia, wengine missing u nk nilichoka nikagugumia life likasonga, siishi naye(note that). sasa nikasema let me try to visit her inbox siku nyingine, majanga yakawa yaleyale.....nikamuuliza anajibu tu kwamba yeye ni mwanamke so kutongozwa ni kitu cha kawaida sana.hapapana usalama wadau????
maoni yenu hapa
Hapo kwenye mabano hukutakiwa uweke curiosity bali idiotic.., inbox ya mtu inakuhusu nini???
 
kutongozwa ni kawaida....
kwa nini anatunza sms?
yaani mimi nikipokea sms ya ovyo tu huwa nyingine nafuta kabla hata sijamaliza kuisoma..... yeye anazitunza ili iweje?

hili nalo neno, hapo ndio wasiwasi nae unapokuja, angekuwa anafanya kama FP alivyosema wala usingejua
 
hawa mama zetu wana mambo mengi, inawezekana kama wadau wengine walivyo sema hapo juu, ama anataka kukuonyesha kwamba wapo wengine wanamtamani zaidi yako.
Nilikuwa na wangu mmoja akitaka kitu toka kwangu ambacho anahisi sitompa ataanza na story ya jamaa flani kumtaka, mara huyu kumsifia mwisho unafata mzinga hahaha ukimjua hakupi shida, tukafika njiapanda nimechukua njia yangu aende na zake.

Mtu gani hana hofu na ww wala nn anakujibu machomakavu kiivyo, kuwa karibu naye zaidi utajifunza mengi.
 
Kaka ukiwa na mtoto mkali, ujue uzuri wake sio wewe peke yake unauona, na wanaume wenzio kibao wanauona na kuutaka. So, vumilia tu bt be careful kwa sababu hata jamaa yake nae probably alikuwa anakuta chombeza zako kwenye simu yake
 
Hakuna ubaya umeshaelezwa na gfsonwin kwamba ume-point! Maana umeweza kupata kinagombewa na wengi! Niseme tu si jambo jema kupekua simu ya kiganjani ya mwenzio, unajitafutia majanga yasiyo ya lazima! Lakini kama umeamua kufanya hivyo, basi jaribu kuangalia na outbox yake...!

Mimi simo utakapokuta naye ni mtongozaji mzuri wa wanaume!
 
Last edited by a moderator:
kutongozwa ni kawaida....
kwa nini anatunza sms?
yaani mimi nikipokea sms ya ovyo tu huwa nyingine nafuta kabla hata sijamaliza kuisoma..... yeye anazitunza ili iweje?

Hapo ndo tatizo unaweza kuta mwenyewe hana tatizo ni descent girl tu ila wewe ndo una komplicate
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom