INBOX: Wanaume VS Wanawake

INBOX: Wanaume VS Wanawake

INBOX YA MDADA:

-
1.I luv u dear (JUMA).
-

2.Nikutoe out leo? (John)

-
3..Huwa inaniuma sana nikikuona na wanaume
wengine (Mwambi)

-
4.. Sweetie usisahau trip ya Bagamoyo, unambie nikupitie wapi (MD)
-

5..Darling, have you seen d credit I sent u?
(Mboss 1)

-
6..Honey najitahidi kukamilisha taratibu za kuleta posa
nakupenda sana (Evans)

-
7. Hilo jione kama umeshapata(Mheshimiwa 2)
-
8..Baby, check akaunti yako nimekuwekea kitu
(Chairman)
....................................................
INBOX YA MKAKA
-
:
1..Salio lako halitoshi kukamilisha ombi lako (TIGO)
-

2..Ukinitumia txt nyingine namwambia rafiki yako
(Jane)
-

3.Mwanaume gani unashindwa kutoa msaada
(Patricia)
-
4..Unajifanya hupokei simu lakini wiki hii ni ya mwisho
lipa kodi au utoke kwenye nyumba yangu(Baba
mwenye nyumba)

-
5..Kaka nakutegemea ada (Jaki)

-
6..Mwanangu njaa inatuuwa usitusahau, Mungu
akubariki(Mama)
-
7..Sijaziona siku zangu , napenda ujue hilo (Jirani
House girl)
 
Back
Top Bottom