Hamna.Kwani humo kwenye inbox zenu hakuna msg kama hizo?
Nawe unataka haki sawa? Tunataka haki sawa sio wajibu sawa. Tofautisha hizo sshemeji.Sasa mlitaka haki sawa zanini wakati hamuwezi kujihudumia?
Sio misukule bwana, hebu acha kutusingizia.Mnaogopa kusema ukweli kwa kuhofia tutazinduka?,
nyie si mmeshatufanya misukule bhana...!
sio kila mwanamke hawezi kujihudumia na mwenye hizo slave mentality za kutegemea mwanaumeSasa mlitaka haki sawa zanini wakati hamuwezi kujihudumia?
Kwahiyo kumbe nyinyi mnataka kutawaliwa kumbe?sio kila mwanamke hawezi kujihudumia na mwenye hizo slave mentality za kutegemea mwanaume
halafu naona hiyo mentality ya wanawake kupenda misaada naona inawasaidia nyie kwa kuwa wasingetaka msaada msingeweza kuwatawala
Kama huutambui wajibu wetu basi una ualakini.Aaah, sasa mbona mnatushinikiza sisi tutimize wajibu wakati nyinyi wajibu wenu hatuutambui
Nyie ni baba,kaka,wajomba,wapenzi,waume,Sponsors wetu.Kama sio misukule ninini? Mandondocha au?
Manake mnataka tufanye mnavyotaka nyinyi tu
Ukiona unazungushwa kupewa game inatakiwa ujiongeze, mbona wengine tunazifuata hata husubiri kuombwa?Kwahiyo kumbe nyinyi mnataka kutawaliwa kumbe?
sasa utawala gani huo mnaotaka nyinyi ikiwa hamfuati yale tunayoyataka?
Mtu ukitaka game unazungushwa mwezi mzima na vijisababu visokuwa na mantiki
Sio mimiKwahiyo kumbe nyinyi mnataka kutawaliwa kumbe?
sasa utawala gani huo mnaotaka nyinyi ikiwa hamfuati yale tunayoyataka?
Mtu ukitaka game unazungushwa mwezi mzima na vijisababu visokuwa na mantiki
Si wote lakiniJamani wanaumeee mmeumbwa kutunza viumbe vyote duniani akiwemo mwanamke mbona mnalalamika sana jamani.hiyo ni kazi yenu