INBOX: Wanaume VS Wanawake

INBOX: Wanaume VS Wanawake

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,077
Reaction score
17,260
INBOX YA MDADA:

-
1.I luv u dear (JUMA).
-

2.Nikutoe out leo? (John)

-
3..Huwa inaniuma sana nikikuona na wanaume
wengine (Mwambi)

-
4.. Sweetie usisahau trip ya Bagamoyo, unambie nikupitie wapi (MD)
-

5..Darling, have you seen d credit I sent u?
(Mboss 1)

-
6..Honey najitahidi kukamilisha taratibu za kuleta posa
nakupenda sana (Evans)

-
7. Hilo jione kama umeshapata(Mheshimiwa 2)
-
8..Baby, check akaunti yako nimekuwekea kitu
(Chairman)
....................................................
INBOX YA MKAKA
-
:
1..Salio lako halitoshi kukamilisha ombi lako (TIGO)
-

2..Ukinitumia txt nyingine namwambia rafiki yako
(Jane)
-

3.Mwanaume gani unashindwa kutoa msaada
(Patricia)
-
4..Unajifanya hupokei simu lakini wiki hii ni ya mwisho
lipa kodi au utoke kwenye nyumba yangu(Baba
mwenye nyumba)

-
5..Kaka nakutegemea ada (Jaki)

-
6..Mwanangu njaa inatuuwa usitusahau, Mungu
akubariki(Mama)
-
7..Sijaziona siku zangu , napenda ujue hilo (Jirani
House girl)
 
aah hahahahahahah walijisemea ottu jazz, tumeumbwa mateso kuhangaika
 
8 Mustapha naomba unisadie hela sina hela nna shida Pumbavuu si una bwana wewe Mimi rafiki yako Mimi sio kituo cha msaada
 
Duh mtoa mada mbona unaongea karibu na ukweli!
 

Attachments

  • 1476462868665.png
    1476462868665.png
    17.7 KB · Views: 34
wanaume mngejibadilisha muwe wanawake kabisa, maana naona kama uanaume umewashinda mnabaki kulalamika tu
 
8 Mustapha naomba unisadie hela sina hela nna shida Pumbavuu si una bwana wewe Mimi rafiki yako Mimi sio kituo cha msaada
Hahahaha mida hii nimepigwa kirungu kikali hadi nimeenda kumeza panadol
 
Jamani wanaumeee mmeumbwa kutunza viumbe vyote duniani akiwemo mwanamke mbona mnalalamika sana jamani.hiyo ni kazi yenu
 
Back
Top Bottom