Inawezekana vipi mimba ikawa yangu?

Inawezekana vipi mimba ikawa yangu?

Jifanye uko 'siriaz' sana kuhusu kufanya DNA mwambie baada ya mwaka mpya, tar 4 mnaenda kufanya vipimo, na kwamba umeshajipanga kwa gharama.. tena siku hiyo mfano tar4 ikifika mwambie ajiandae mwende, njiani uwe unamtishia tishia.. "kama unajua sio yangu nambie sasahivi, tukipima nikajua sio ama zangu ama zako"
*kwa yeyote asiyewajua watanzania halisi,huyu ni moja kati ya hao *asante
 
hana mimba ila utaliwa sana hela za kulea mpeleke kupima hospital unayoijua wewe siyo yeye akupeleke kwa dokta wake
hapo nime assume upo uchumi wa kati anataka kula hela zako ila kama ni NJAAKALIHATARI kama mimi basi ujue kakupenda tu anataka a stick by you
 
Wapo thoe it's very rare cases. Huyo dada ana mzunguko mfupi. Na pia najua unajua kama sperm zinaweza kukaa ndani ya siku 3 zikiwa na uhai bado. Kwa mtu mwenye mzunguko mfupi siku ya 5/6 tayari medium chances za kupata ujazito zinakuwepo ukiplus na sperm ku'survive kwa sku 3 naa hutoboi hapo.

Narudia kukwambia kwamba inawezekana, hiyo mimba ni yako unless dada awe anadanganyia akupige kibomu cha kununulia Miso
Kabisa mkuu uko sahihi
 
Yeah! Inawezekana ila ni very rare kama ulivyosema.. issue ni kwamba, mimba inaanza kuonyesha dalili after 2 weeks mtu anaanza kuhisi kichefuchefu na kutapika.

Kwanini asiseme muda wote huo mpaka mwezi mzima umefika? Ina maana alikuwa hajijui muda wote.

Nina uhakika kwa kiasi kikubwa sio yangu, by any means atakuwa ame cheat!
sometimes hata mwez hupta bila
Dalili zozote bro.... Usiseme hvo. Nendo polepole na hyo issue
 
Lea mtoto usimtelekeze usije kuwa kama baba ake diamond platinum anavyo tia huruma.

Kama unawaza Dhambi ya kuua njoo nikupe Misoprostol, ila tz hamna kiwanda chake
Naona unajitafutia balaa,hizo miso,dino kwa nn unaua kiumbe ambaye hana kosa ww wazazi wako mbona walikuzaa

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Changa la macho

Mkuu anataka kukupiga tu hela we kama vipi mtumie mpenzi wako hela
 
Ni ngumu lakini pia INAWEZEKANAA[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] sababu Menstrual maan ake ukuta wa mimba umebomokaa sababu hakuna mtoto alietungishwa lakini ukipiga miti siku baada ya period yake kuisha na demu cycle yake ni fupi bhasi mbegu zako muda ambao zitakaa kwenye Mirija ya uzazi almost siku 3 bhasi inawezekana zikakutana na Yai.. ila lazima Cycle yake iwee fupii mnooo!!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Usiconclude mkuu japo kwa hii kesi ukweli 10% nyingine ni Uongoo so usimuhukumu huyu binti
Point taken mkuu hakika maoni yangu si yenye aslimia 100. There is always an alternative window. Big up
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom