Inawezekana vipi mimba ikawa yangu?

Inawezekana vipi mimba ikawa yangu?

Halafu ananishauri uwezekano wa kutoa. I told her, siwezi kushiriki kwenye dhambi kama hiyo, even though mimba sio ya kwangu.
Achana nae,usijihusishe kwenye dhambi isiyokuhusu

Kama kaamua kutoa akaitoe na aliyempa
 
One month ago, nilidate na binti mmoja hivi..

When we met, alikuwa ndio kamaliza menstrual period yake.. yaani tuseme kamaliza jana halafu leo ndio kachezea mshedede. Na wakati namaliza show, kilitoka kibaki cha damu iliyoganda kuonyesha kuwa ni kweli menstrual ilikuwa imeisha.
Even before sijaomba game, alinambia nivute subira mpaka atakapomaliza period yake.

Leo baada ya mwezi mmoja, anakuja kunambia ana mimba yangu!

How can it be possible??

Kwamba kapata mimba baada ya menstrual? Kwamba siku zake za hatari zilikuwa karibu? Kwamba one month amekaa na mimba bila ya kunambia??
.
.
.

Na maswali mengine mengi.

Nikimuuliza kama alitoka na mtu before, anakataa!

Hivi huyu mwanamke yupo sawa kweli? Atamueleza mwanaume gani hilo suala akamuelewa?
Sasa ukiombwa pesa za xmass hutoi,,

Amekuja kwa style ingine..

Wanawake hawaishiwi mbinu.
 
Jifanye uko 'siriaz' sana kuhusu kufanya DNA mwambie baada ya mwaka mpya, tar 4 mnaenda kufanya vipimo, na kwamba umeshajipanga kwa gharama.. tena siku hiyo mfano tar4 ikifika mwambie ajiandae mwende, njiani uwe unamtishia tishia.. "kama unajua sio yangu nambie sasahivi, tukipima nikajua sio ama zangu ama zako"
 
Asa ndo apate mimba baada ya period
Wapo thoe it's very rare cases. Huyo dada ana mzunguko mfupi. Na pia najua unajua kama sperm zinaweza kukaa ndani ya siku 3 zikiwa na uhai bado. Kwa mtu mwenye mzunguko mfupi siku ya 5/6 tayari medium chances za kupata ujazito zinakuwepo ukiplus na sperm ku'survive kwa sku 3 naa hutoboi hapo.

Narudia kukwambia kwamba inawezekana, hiyo mimba ni yako unless dada awe anadanganyia akupige kibomu cha kununulia Miso
 
Yeah! Inawezekana ila ni very rare kama ulivyosema.. issue ni kwamba, mimba inaanza kuonyesha dalili after 2 weeks mtu anaanza kuhisi kichefuchefu na kutapika.

Kwanini asiseme muda wote huo mpaka mwezi mzima umefika? Ina maana alikuwa hajijui muda wote.

Nina uhakika kwa kiasi kikubwa sio yangu, by any means atakuwa ame cheat!
 
Sio kila mimba inakuja na kutapika or vichefuchefu, wengine awahisi kitu mpaka amiss period ndio ataanza kujishtukia.
 
Je akazaliwa afu akawa na bahati yake je utasema ni yako?
 
Yan mwana umeandika story yangu kabisa yan. Me ilibidi tupime kabisa tukakuta ni kweli ipo lkn stuation zake sikuelewa..Mwisho wa cku nikampa 50 kama msaada ajue atakachofanya yeye nkamwambia me cmo.

Alivofika kwao akanambia pesa haitoshi nimuongeze laki ndo nlipomwambia akome tena asinzoee. Akaanza kunitishia mara eti atanenda kunharibia kazini me nkawa cmjibu kitu mwisho akachoka akaniacha

By the way haitwi Aisha huyo? icje ikawa ndo huyo huyo tabia zake
 
Wapo thoe it's very rare cases. Huyo dada ana mzunguko mfupi. Na pia najua unajua kama sperm zinaweza kukaa ndani ya siku 3 zikiwa na uhai bado. Kwa mtu mwenye mzunguko mfupi siku ya 5/6 tayari medium chances za kupata ujazito zinakuwepo ukiplus na sperm ku'survive kwa sku 3 naa hutoboi hapo.

Narudia kukwambia kwamba inawezekana, hiyo mimba ni yako unless dada awe anadanganyia akupige kibomu cha kununulia Miso
Miso na P2 ni dawa rafiki sana kwa baadhi ya wanawake.

Kuna majanga nilipitia ikabidi miso ihitajike
 
Yan mwana umeandika story yangu kabisa yan. Me ilibidi tupime kabisa tukakuta ni kweli ipo lkn stuation zake sikuelewa..Mwisho wa cku nikampa 50 kama msaada ajue atakachofanya yeye nkamwambia me cmo.

Alivofika kwao akanambia pesa haitoshi nimuongeze laki ndo nlipomwambia akome tena asinzoee. Akaanza kunitishia mara eti atanenda kunharibia kazini me nkawa cmjibu kitu mwisho akachoka akaniacha

By the way haitwi Aisha huyo? icje ikawa ndo huyo huyo tabia zake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Yan mwana umeandika story yangu kabisa yan. Me ilibidi tupime kabisa tukakuta ni kweli ipo lkn stuation zake sikuelewa..Mwisho wa cku nikampa 50 kama msaada ajue atakachofanya yeye nkamwambia me cmo.

Alivofika kwao akanambia pesa haitoshi nimuongeze laki ndo nlipomwambia akome tena asinzoee. Akaanza kunitishia mara eti atanenda kunharibia kazini me nkawa cmjibu kitu mwisho akachoka akaniacha

By the way haitwi Aisha huyo? icje ikawa ndo huyo huyo tabia zake
Kumbe wapiga kavu kwa one night stand tupo bado. Ila kavu tamu aisee!
 
Miso na P2 ni dawa rafiki sana kwa baadhi ya wanawake.

Kuna majanga nilipitia ikabidi miso ihitajike
Kwangu sio rafiki, nilishawahi kuitumia ila ilinifanya vibaya. Sitaki nayo mazoea

Miso? Ulishiriki abortion wewe. Looh
 
Hapana sikushiriki abortion mkuu

Miso huwa inamatumizi mengine
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom