Inawezekana vipi mimba ikawa yangu?

Inawezekana vipi mimba ikawa yangu?

One month ago, nilidate na binti mmoja hivi..

When we met, alikuwa ndio kamaliza menstrual period yake.. yaani tuseme kamaliza jana halafu leo ndio kachezea mshedede. Na wakati namaliza show, kilitoka kibaki cha damu iliyoganda kuonyesha kuwa ni kweli menstrual ilikuwa imeisha.
Even before sijaomba game, alinambia nivute subira mpaka atakapomaliza period yake.

Leo baada ya mwezi mmoja, anakuja kunambia ana mimba yangu!

How can it be possible??

Kwamba kapata mimba baada ya menstrual? Kwamba siku zake za hatari zilikuwa karibu? Kwamba one month amekaa na mimba bila ya kunambia??
.
.
.

Na maswali mengine mengi.

Nikimuuliza kama alitoka na mtu before, anakataa!

Hivi huyu mwanamke yupo sawa kweli? Atamueleza mwanaume gani hilo suala akamuelewa?
Yote yanawezekana. Inakubidi uwe na busara zaidi katika kufikia solution. Si Jambo kubwa sana kivile.
 
Yan mwana umeandika story yangu kabisa yan. Me ilibidi tupime kabisa tukakuta ni kweli ipo lkn stuation zake sikuelewa..Mwisho wa cku nikampa 50 kama msaada ajue atakachofanya yeye nkamwambia me cmo.

Alivofika kwao akanambia pesa haitoshi nimuongeze laki ndo nlipomwambia akome tena asinzoee. Akaanza kunitishia mara eti atanenda kunharibia kazini me nkawa cmjibu kitu mwisho akachoka akaniacha

By the way haitwi Aisha huyo? icje ikawa ndo huyo huyo tabia zake

Hapana sio Aisha mkuu.. dah majanga kichizi mwamba
 
No it's not true dalili za mimba zinaanza kuonekana from 4 wks to 6weeks tena hizo ni kwenye vitabu but mostly unakuta mtu anakuja kucheki ujauzito ana kama 8 weeks yaan miezi miwili ndo hapo sasa anadalili kama zote na amemiss period kabisa. 1-2weeks za pregnacy mtu anapataga spotting au light bleeding akafikiri kuwa yupo mp kumbe mimba tayari imeingia muda.
Yeah! Inawezekana ila ni very rare kama ulivyosema.. issue ni kwamba, mimba inaanza kuonyesha dalili after 2 weeks mtu anaanza kuhisi kichefuchefu na kutapika.

Kwanini asiseme muda wote huo mpaka mwezi mzima umefika? Ina maana alikuwa hajijui muda wote.

Nina uhakika kwa kiasi kikubwa sio yangu, by any means atakuwa ame cheat!
 
Hiyo mimba sio ya kwako haiwezekani baada ya mp eti ovulation ikatokea, kilichopo hapo ni kwamba alichepuka kwenye siku zake za hatari
Bora useme wewe jamaa kapigwa mimba haiwezi kutungwa kipindi cha mp jamaa kapigwa
 
Halafu ananishauri uwezekano wa kutoa. I told her, siwezi kushiriki kwenye dhambi kama hiyo, even though mimba sio ya kwangu.
Hana mimba.

Unatakiwa tu kutoa hela ya kutolea mimba.
Nunua UPT ,buku tu pharmacy.
Mwite aje, mwambie akojoe hata kwenye kizibo cha maji, chana upt ingiza mkono.

Majibu yatakuwa Negative.
 
Kaka huo mzigo ni wako coz mbegu huwa znakaa kwa mwanamke cku tatu had tano baada ya hapo ndio znakufa xaxa baada ya period msichana hukaa cku tatu had tano ndio anaanza tarehe za mimba yaan siku yake ya 10 had 11 sasa huon kama mimba inàwezekana
 
One month ago, nilidate na binti mmoja hivi..

When we met, alikuwa ndio kamaliza menstrual period yake.. yaani tuseme kamaliza jana halafu leo ndio kachezea mshedede. Na wakati namaliza show, kilitoka kibaki cha damu iliyoganda kuonyesha kuwa ni kweli menstrual ilikuwa imeisha.
Even before sijaomba game, alinambia nivute subira mpaka atakapomaliza period yake.

Leo baada ya mwezi mmoja, anakuja kunambia ana mimba yangu!

How can it be possible??

Kwamba kapata mimba baada ya menstrual? Kwamba siku zake za hatari zilikuwa karibu? Kwamba one month amekaa na mimba bila ya kunambia??
.
.
.

Na maswali mengine mengi.

Nikimuuliza kama alitoka na mtu before, anakataa!

Hivi huyu mwanamke yupo sawa kweli? Atamueleza mwanaume gani hilo suala akamuelewa?
Umeuziwa mbuzi kwenye gunia. It's impossible. Ila sio mbaya ukamsaidia kumlelea mwanaume mwenzio....
 
Kaka huo mzigo ni wako coz mbegu huwa znakaa kwa mwanamke cku tatu had tano baada ya hapo ndio znakufa xaxa baada ya period msichana hukaa cku tatu had tano ndio anaanza tarehe za mimba yaan siku yake ya 10 had 11 sasa huon kama mimba inàwezekana
Umeconclude haraka bwn. Hata hujauliza mwanamke huyo ana mzunguko wa siku ngapi na anatoka damu ya hedhi kwa siku ngapi umeshaconclude! Hata hivyo, kwa vyovyote km wamesex siku iliyofuata tu baada ya menstrual hawezi kushika mimba. Yai linakuwa halijaiva kuweza kutunga mimba.
 
Kaka huo mzigo ni wako coz mbegu huwa znakaa kwa mwanamke cku tatu had tano baada ya hapo ndio znakufa xaxa baada ya period msichana hukaa cku tatu had tano ndio anaanza tarehe za mimba yaan siku yake ya 10 had 11 sasa huon kama mimba inàwezekana

Bahati nzuri nayaelewa haya mambo.. it’s true kwamba sperm inakaa 3-5 days until it undergoes apoptosis and later eaten by tissue macrophages zilizopo ndani ya uterus.

Menstrual kikawaida huchukua siku 3-5, japo wengine wana experience chache na wengine ni nyingi zaidi. Kwake mzunguko huu was 4 days, nategemea after 7 days ambayo itaangukia kwenye siku yake ya kwanza y a hatari (ambayo ni day 11) ndio at least nianze kuwa na wasi coz hiyo day 11 sio exactly a day ambayo yai litakuwa limeiva (ndio maana day 11 ikawa imeongezwa kwenye danger zone) unless awe na irregular cycle.

Vile vile hizo day za sperm kuishi kwenye uterus, almost 3 ( 5 ni just margin tu) na hapo inategemea na kiwango cha bao zilizofika (sperm load).

Sasa huyu mchumba huwa nikipiga kamba anaenda kunawa, anazipunguza coz baadae huwa zinamletea shida. Zinakuwa zinashuka kidogo kidogo!

.
.
.

Yaani nina sababu nyingi sana zinazofanya niitakae hii kama sio yangu.

Nieleweke tu, sijawahi kukataa mimba kama ni yangu. Lakini hii nina uhakika sio ya kwangu.
 
Hana mimba.

Unatakiwa tu kutoa hela ya kutolea mimba.
Nunua UPT ,buku tu pharmacy.
Mwite aje, mwambie akojoe hata kwenye kizibo cha maji, chana upt ingiza mkono.

Majibu yatakuwa Negative.

Now niko nae mbali kidogo ndio maana anajiona ana advantage juu yangu.

Nilitaka nimwambie anitumie majibu ya UPT kwenye whatsapp lakini nikajua atanitafutia cha positive.

Anyway, najua namna gani nitamshika na huu uongo wake.
 
One month ago, nilidate na binti mmoja hivi..

When we met, alikuwa ndio kamaliza menstrual period yake.. yaani tuseme kamaliza jana halafu leo ndio kachezea mshedede. Na wakati namaliza show, kilitoka kibaki cha damu iliyoganda kuonyesha kuwa ni kweli menstrual ilikuwa imeisha.
Even before sijaomba game, alinambia nivute subira mpaka atakapomaliza period yake.

Leo baada ya mwezi mmoja, anakuja kunambia ana mimba yangu!

How can it be possible??

Kwamba kapata mimba baada ya menstrual? Kwamba siku zake za hatari zilikuwa karibu? Kwamba one month amekaa na mimba bila ya kunambia??
.
.
.

Na maswali mengine mengi.

Nikimuuliza kama alitoka na mtu before, anakataa!

Hivi huyu mwanamke yupo sawa kweli? Atamueleza mwanaume gani hilo suala akamuelewa?
Sio yako 100%. Hata umwagie pipa zima LA sperm.

"Nilimuuuliza akasema haja du,karbuni"... Usimuulize atakataa tu.we nenda nae hosp umpime kama anayokweli...usijifanye umekataaa alaf ukitoka Hosp ,

1.akiwa hana(alikuwa anakudanganya)--- usipige kavu tena, na usiwe na mpango nae,atakuwa umiza kichwa Huyo.

2.Akiwa anayo,omba ushauri kwa daktar inawezekanaje,??? ila vyovyote kwa uzoefu wangu,hapo atakuwa anakubambikia,maana anajua unaqeza Lea vzr.
 
Kama vipi we lea tyu mbona we ulilelélewa na baba mwingne japokua alijua lakin aliuchuna
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom