Inawezekana vipi mimba ikawa yangu?

MalcolM XII

JF-Expert Member
Mar 19, 2019
5,236
14,203
One month ago, nilidate na binti mmoja hivi..

When we met, alikuwa ndio kamaliza menstrual period yake.. yaani tuseme kamaliza jana halafu leo ndio kachezea mshedede. Na wakati namaliza show, kilitoka kibaki cha damu iliyoganda kuonyesha kuwa ni kweli menstrual ilikuwa imeisha.
Even before sijaomba game, alinambia nivute subira mpaka atakapomaliza period yake.

Leo baada ya mwezi mmoja, anakuja kunambia ana mimba yangu

How can it be possible??

Kwamba kapata mimba baada ya menstrual? Kwamba siku zake za hatari zilikuwa karibu? Kwamba one month amekaa na mimba bila ya kunambia?

Na maswali mengine mengi.

Nikimuuliza kama alitoka na mtu before, anakataa!

Hivi huyu mwanamke yupo sawa kweli? Atamueleza mwanaume gani hilo suala akamuelewa?
 
Si ulipiga kavu mkuu so alikutegea siku ya kupata mimba,wee lea tu hyo mimba
 
Kitanda hakizai kharamu shekhe! Kwani ukimlea kuna tatizo gani mbona vidume wengine wanalea wakwako? 😄😄
 
Lea mtoto usimtelekeze usije kuwa kama baba ake diamond platinum anavyo tia huruma.

Kama unawaza Dhambi ya kuua njoo nikupe Misoprostol, ila tz hamna kiwanda chake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom