Inawezekana tende ikawa ni mti wa asali inayoota

wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
24,688
26,797
Kwa kweli kuna tende ilikuwa kwenye friji/jokofu tangu mwaka juzi ile idd mapka sasa ipo leo nimejaribu kuonja kama haijaharibika bado utamu /ladha ni ule ule/ile ile .

Yaani bado ni nzima hadi nashanga tende haina tofauti na asali ni vile tuu tende inaota kama mmea na asali inatengenezwa kama kimiminika,je!inamaana tende hata ikae vipi haiharibiki?
 
Back
Top Bottom