Inawezekana Prof Kitila Mkumbo hajui historia ya Mlimani Park Orchestra " Sikinde Ngoma ya Ukae" Kabla ya Mlimani City!

Hapo pembezoni mwa Mlimani City Watu tumekula raha sana Enzi za baba wa taifa Mwalimu Nyerere

Hapajawahi kuwa pori wala nini na waliotoka mikoani walipapenda sana

Ni hayo tu!
Tuliosoma ARDHI UNIVERSITY Enzi hizo Ardhi Institute tulipatumia sana nadhani huyo jamaa alikuwa bado Singida vijijini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom