Mr.kichuli
Member
- Mar 21, 2013
- 29
- 6
yeah chagua tuu...mpe jina la judas
Acha uzuzu. Utoe jina kama nani? Waache watu walee watoto wao. Chunga sana kijana!
Achana naye. Wewe si chaguo lake. Utapata 'stress' muda si mrefu ukiwa naye. Mwogope kama ukoma. Live your life dogo na make better out of it!kweliii ila binti king'anganizi mno inakuaje hapo.
nimeshakusoma nini unamaanisha,.kama una mpango wa kufungua kituo cha kulelea watoto wa wanaume wenzako nyumbani kwako go on.
Nimekupata mkuu.Achana naye. Wewe si chaguo lake. Utapata 'stress' muda si mrefu ukiwa naye. Mwogope kama ukoma. Live your life dogo na make better out of it!
baba wa mtoto kakosa jina la kimpa mwanae????
Wewe ni kijana ambeye umeshafikia umri wa miaka (23) na ni mvulana uliyekuwa na mpenzi wako tangu shule na mliaidiana mengi katika maisha yenu na kubwa zaidi ni kuja kuoana,ila baada ya kumaliza masomo yenu yeye akaenda kusomea ualimu na wewe ukapata kazi kwa muda huo mkapotezana kama mwaka mmja lakini mkiwa mnawasiliana,ishu ikaja binti alipo maliza chuo kumbe alikua tayari anaujauzito wa miezi mitatu afu akawa anakuficha mpaka ukaja kuambiwa na wenzake,na kila ukijaribu kumuuliza anakataa na ukitaka muonana sababu zinakuwa nyingi,ndipo ukapata taarifa kuwa kajifungu bila uwoga ukamuagiza best yako wa kiume na zawadi kibao za mtoto lengo ni kumuakikishia kuwa unafahamu kila kitu baada ya hapo ikabidi akuambie ukweli na akisema kuwa ilikuwa baati mbaya na anadai mfunge ndoa nae na akaomba jina la mtoto umpe wewe..NAHITAJI MAWAZO YENU WAKIKE KWA WAKIUME MNGEFANYAJE HAPO.
Sasa hapo ndo wengi wanajiuliza but tukaona kunaweza kukawa na sababu zilizo fanya mpaka akaamua kumbwambia ampe jina labda kumlaghai ili aönekane kuwa anamthamini bado endapo amecheza rafu au hana time na baba mzazi wa mtoto!
Hapo pagumu kidogo. Je hiyo mimba ilikua ya kwako? Je wewe unampenda manake unaweza kusema huyo mdada hakufai kisa kazaa nawewe bado unampenda kwa dhati . pia jiulize kama wanaume na wao wangekua wanabeba mimba wewe ungebeba za wangapi. Mimi naona pima mwenyewe na muulize kwanini alikua anakuficha kuhusu huo ujauzito na mwenye mtoto ni nana hasa. Pengine atakupa sababu za kutosha , na ukiridhika nazo basi hapo asihukumiwe kama anakupenda na wewe unampenda uamuzi uko kwenu. Mtoto asiwe kikwazo bora yeye amezaa je wanaotoa mimba watakuambia wametoa mimbangapi kabla ya kukutana na wewe .
hiyo mimba ilikuwa ya kwako au........? na kama ilikuwa yako........kwa nini akufiche.......?