Inawezekana kweli?

NIANZE WA KUSEMA, kumsahau wa zamani inawezekana kabisa... Shida kubwa mtu anapoingia kwenye mahusiano mapya, kwa aliyechana... huwa ni KULINGANISHA KILA ANACHOFANYA MWENZA WAKE MPYA NA ALICHOKUWA ANAFANYIWA NA WA ZAMANI. Ukiacha kulinganisha unayofanyiwa na huyu mpya na yale ya wa zamani, utafanikiwa sana kwenye magusiano mapya.
 

Oh pole boss! Kuna vitu kwenye maisha ni fate zetu hazikimbiki! Ila Mungu yupo anatuwazia mema!
 

Kweli bro! Wanasema comparison ni mbaya ila hiyo sio shida hata! Shida ni huu uchungu unaokuwa nao moyoni ndio hasa unaokwamisha mambo!
Asante kwa ushauri
 
Ukiona unapata uchungu sana ni kwa kuwa ulikuwa Novice katika game ya mahusiano. Sema ndio umeshagraduate
 
Kumbe mapenzi yanatesa hvi..

Kweli ulikuwa na wakati mgumu,hongera kwa kuweza kushinda hizo changamoto.
 
Oh pole boss! Kuna vitu kwenye maisha ni fate zetu hazikimbiki! Ila Mungu yupo anatuwazia mema!
Naona Kama kuna watu wanaona lahisi,sijui labda mm Moyo wangu ndio dhaifu kwayule au nkweli hili Jambo linawezekana....anisamehe Mungu maana siwez semea Moyo wamtu.ila me nmeshndwa....tena ajabu zaidi uyu mtu Sasa amezaa nmwngne napamoja yakuwa mkoa mwngne me Bado naumia...huwa siamn katka shiriki hasa ukizngatia nizaliwa nakukulia town kabsa Babu bb wote nawakuta mjn....lakn kwahli huwa nahc inawezekana Sangoma amehusika...haiwezekani miaka6 Bado Moyo unateseka.nmepambana Sana kufanya kla haina yaushaur lakn siwez maliza miez2 bla kumkumbuka....nasio kuwa sikuwah kua nawatu kabla yake au baada yake.....Naludia tena Kama bado miaka18-25 hil Jambo linawezekana kusahaulka maana nihatua yaukuaji ila Kama miaka26-1500000 Apo lazma uteseke moyoni nakichwan Kama alkuwa mtu unaehc nisahii kwako napia mlkaa kwamuda....kunamuda adi najichukia mwenyewe kwann Mungu alnpa Roho yahuruma kiasi ichi wapo walio wahi nishaur twende kwamtaalam nkalpe kisas lakn siamn kabsa katka ilo nanlshndwa kwena.inafka wakat namuombea dua mbaya lakn Mungu ajbu adi naona Kama ananionea mm tu.why me....;Ila kidogo Asubuh nmefarjka kias chake kwakuhc kumbe siko pekeangu duniani ninae Teseka Tupo wengi;;;pole Sana dadaangu jitad tu kujshugulsha muda mwng....ila kusahau kabsa niuongo kwannavyo isi mm ingawa neno langu sio sheria
 
daaah natamani niseme na mm kipindi yaliyonikutaga kama yako lakini anyway lemme me be cool funika kombe mwanaharamu apite life still goes on

wat goz around come around
wat come around goz around

usijali ni swala la muda tu
 
Poleeh sana, but know life still goes on.
 
Ukiwa bongo dsm achana na mambo ya kuweka moyo wako rehani!Kuna matapeli wa mapenzi tu hapo utaishia kuumizwa na kupotezewa muda.

Mapenzi ya kweli baina ya masikini na tajiri yapo ulaya tu. Ila usije ukawa tajiri kupindukia pia maana kuna matapeli wa Spouse & Child support pia.🀣🀣🀣 Ulaya kosa ni kuwa na mpenzi ukiwa tajiri wa kupindukia.
 
Ila mapenzi bwana sijuh yapoje... unaweza jikuta ujielewi elewi tu, yaaan kama maisha yamefika mwisho kwako. Hata kula una hamu jamannii......Shikamoo mapenzi.!!!!

Ila yote kwa yote naamini inawezekana utamsahau kabisa.... endelea kujipa muda tu na Kumuomba Mungu sana utoke huko.
 
Ila mapenz bhna et nikaanza kufanya usaf kanisan jmosπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜†πŸ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…