Inawezekana kwa mwenye bachelor ya elimu kusoma post graduate diploma in accountancy hasa SAUT?

Nicky nicky

Senior Member
Aug 20, 2011
106
9
Kichwa chajieleza.Bachelor ya elimu kusoma post graduate diploma ya account pasipo back ground yoyote ya busness subjects. Naomba mwongozo maana nina dogo anahitaji sana na lengo lake ni kusoma kozi hii pale SAUT.
 
Post graduate diploma ni ELIMU inayosomwa kwa sababu zifuatazo 1.kama unataka kubadili fani/utaalamu mfano umesomea bachelor degree ya public administration halafu unataka kusoma masters ya accounting itabidi usome kwanza post graduate diploma ndo uingie masters 2.kama una G.P.A ndogo let say 2.0 itabid usome post graduate kwanza hata kama unachotaka kusomea ulishakisoma kwenye bachelor degree let say umesoma bachelor ya education unataka kusoma MASTERS YA EDUCATION itabidi usome kwanza POST GRADUATE YA EDUCATION kwanza then MASTERS YA EDUCATION
 
Hairuhusiwi!
aende akapambane na mitihani ya board ngazi ya ATEC au FOUNDATION STAGE kutegemeana na COMBINATION ya FVI
 
heshima kwenu wakuu! Hii thread imenivutia maana na mimi nasoma Bachelor of commerce with education ndo niko mwaka wa 3
advance nimesoma ECA#

ila nataka nikimaliza chuo nikasomee CPA je naweza anzia ngazi ipi?
 
kaka CPA we haikuhusu kwa coz iyo unayosoma,CPA ni kwa ajili ya wanaosoma Bcom/Accounting Advanced diploma in Accounts and other business studies kama BCOM-FINANCE na BBA ila hawa wanaanzia module C ila ukisoma bcom accountng,,BAF,au ADA unafanya module mbili tu ambayo ni E &F
 
Kichwa chajieleza.Bachelor ya elimu kusoma post graduate diploma ya account pasipo back ground yoyote ya busness subjects. Naomba mwongozo maana nina dogo anahitaji sana na lengo lake ni kusoma kozi hii pale SAUT.

inawezekana kabisa kiongoz,nlisoma IT bdae nkafanya PGDFA saut ila lazima utakutana na bishagazi kwenye cost accounting,lusindilo Qm
 
Kichwa chajieleza.Bachelor ya elimu kusoma post graduate diploma ya account pasipo back ground yoyote ya busness subjects. Naomba mwongozo maana nina dogo anahitaji sana na lengo lake ni kusoma kozi hii pale SAUT.

Sasa hujasema ni Education ipi.ila kama Bachelor of Education in Commerce ipo Mlimani,unaweza soma post graduate,ila kama una gpa nzuri
 
kaka CPA we haikuhusu kwa coz iyo unayosoma,CPA ni kwa ajili ya wanaosoma Bcom/Accounting Advanced diploma in Accounts and other business studies kama BCOM-FINANCE na BBA ila hawa wanaanzia module C ila ukisoma bcom accountng,,BAF,au ADA unafanya module mbili tu ambayo ni E &F

Sawa kaka nimekuelewa ila courses nilizosoma na ambazo nitazisoma ni kama zifuatavyo
*Econometrics
*Intermediate account
*Cost accounting
*Auditing
*corporate finance
*inventory control
*financial accounting
*business mathematics
*general management
*macro and micro economics
*business law
*business statistics
*entrepreneurship
*quantitative technique for business
*managerial economics
*business professional packages
*research in business and consultancy methodology
*financial statement analysisy
*financial reporting
*international finance
*public finance and taxation
*government accounting
*conteporary issue in accounting
*money and banking
*management accounting and control
*education psychology
*education guidance and counseling
*curriculum development
*philosophy of education
*education media and technology
*measurement and evaluation of education
*management of education and school administration
*development studies
*communication skills
*multimedia presentetion
*management information system
*teaching practice/field
 
Nina shida kama ya mtoa mada, nmesoma Bachelor of education in Science (Chemistry and Biology), ningependa kufanya post graduate moja kati ya zifuatazo: Post graduate di[loma in accounting, Post graduate diploma in Business Management au Post Graduate diploma in Finance management.
Form six nmesoma PCB. O level nina ufaulu mzuri wa Hesabu ila sina background ya masomo ya biashara.
Naomba kuwasilisha.
 
Kasome MBA mkuu no need ya postgraduate diploma, mbona watu Wana engineering na wamesoma kitu kingine
 
Back
Top Bottom