Inawezekana kusoma MD kwa GPA chini ya 3 kutoka Diploma?

MrGeneous

JF-Expert Member
Oct 3, 2020
562
282
Hivi inawezekana mtu kusoma MD vyuo vya Tz kwa gpa below 3 kutoka diploma? Kuna rumors naskia watu wanasoma, sasa kuna dogo namuulizia anataka kusoma na ana GPA below 3
 
Vitu vingine usiulize, nenda TCU guide, angalia kipengele cha Other equivalent qualifications, kila kitu kipo humo.

ANGALIZO: Ukienda vyuo vya binafsi wanaweza wakakua-admit na GPA "yoyote" at your detriment. How? Utasoma utamaliza, then akitokea mtu akakuchongea kuwa you had no qualification to get admitted at a medical school with that GPA contrary to TCU specification, then.... vyeti fake vinakuhusu.
 
Inawezekana, cha msingi nenda Open University kafanye kozi ya Foundation ndo inayotambuliwa na TCU kwa ajili ya ku'upgrade GPA yako upate 3 or above ...then ndo utaweza kuwa eligible kusoma unachotaka kusomea ila MD kibongo bongo ina competition kubwa mno labda uende abroad kusomea!
 
Kwani open university wanatoa kozi ya clinical Officer.?????
 
Hebu tuliza mawazo kdg mkuu, nimesema nenda Open university kasome Foundation course kwa ajili ya ku'upgrade GPA, then ndo utaweza kusoma hiyo MD utaingia kama equivalent student ikiwa pamoja na diploma yako yenye less GPA
 
Ninachouliza ni kwamba open university wanatoa program ya diploma ya udaktari.???? Maana sina detais na hiko chuo
 
Vitu vingine usiulize, nenda TCU guide, angalia kipengele cha Other equivalent qualifications, kila kitu kipo humo.

ANGALIZO: Ukienda vyuo vya binafsi wanaweza wakakua-admit na GPA "yoyote" at your detriment. How? Utasoma utamaliza, then akitokea mtu akakuchongea kuwa you had no qualification to get admitted at a medical school with that GPA contrary to TCU specification, then.... vyeti fake vinakuhusu.
Mkuu hata vyuo binafsi lazima wapeleke tcu majina yote ya walio omba for verification kwa walio chaguliwa kama wanastahili au la. Hivyo kudahili ambae hana sifa si rahisi.
 
Thanks a lot for clarification... nasema labda TCU wakipitiwa au huyo anayeratibu verification akipitiwa, then....... uko mbeleni will cost you dearly!
 
Back
Top Bottom