Habari wadau, kuna simu ya iphone nataka niinunue kwa mtu kwa hela ndogo ipo network locked ila anaitumia kwa gevey sim, hivi gevey sim haina shida? Na je kama sitaki kutumia gevey inawezekana kui unlock? Asanteni sana.

Shukran Mkuu nimekuelewa,na vipi ukitumia Gevey haiwezi ikaathiri kwenye kupata OTA updates za simu husika?yaan utakapo download na ku install update haihitaji ku update na taarifa za hyo Gevey?