Inawezekana Hillary Clinton ni mgonjwa kweli

Inawezekana Hillary Clinton ni mgonjwa kweli

Huyu mama alikuwa pale Manhattan palikuwa na joto na alikaa kwa 90 minutes hivyo ni dhahiri kwa umri na afya yake ni lazima atakuwa alipata homa.

Akipumzika ndani atakuwa fresh baada ya 48 hours.

Hii si mara ya kwanza huyu mama kupata matatizo kama hili.

Mwaka 2012 alipata tatizo la double vision akiwa SoS lililomfanya aanguke.
 
Teh!, to conclude your sentence, ni afadhali ugonjwa wa mwili kuliko ugonjwa wa akili...lol

Marekani wanalo, bora rais anayekagua gwaride kwa kiti cha magurudumu kuliko kichaa anayeweza kuibuka na "I've declared war on Russia" kama kwamba anaagiza cappuccino.
 
  • Thanks
Reactions: kui
Rais wa Marekani ni kiongozi wa dunia.

Huyu mama ni mgonjwa.

Ataweza kweli kukabiliana na mikikimikiki ya Kim Jong Un huyo?

Urais wa Marekani unazeesha haraka mno.

Sasa bibi wa miaka karibu 70 anahangaika nao wa nini?

Ana wajukuu wawili sasa ni bora angejikalia zake nyumbani acheze nao play-doh😀

Yule mama yuko sawa, hadi afikie hapo alipo amepambana na yote. Shughuli za kutafuta kura Marekani huwa sio kazi rahisi, hata hii mibabe ya Afrika haiwezi ikamudu.
 
  • Thanks
Reactions: kui
Mama muuaji sana alipokua waziri mambo ya nje aliuwa watu sana damu ya watu wengi wa libya..syria iko mikononi mwake
Kama ni kweli basi mwache avune alilolipanda
 
Yule mama yuko sawa, hadi afikie hapo alipo amepambana na yote. Shughuli za kutafuta kura Marekani huwa sio kazi rahisi, hata hii mibabe ya Afrika haiwezi ikamudu.
Reagan. ...katiba ndiyo inayoendesha hii nchi. ..McCain naye unamkumbuka na cancer yake ya ngozi?
 
Sept 11, 2016
California, USA
HILLARY CLINTON HEALTH
Two days of campaigning in California cancelled. Clinton was scheduled to return to California on Monday for still more finance events, but called off plans out West for two days of fundraising, campaign events and an appearance on Ellen DeGeneres' talk show after she had to abruptly leave a 9/11 anniversary ceremony Sunday complaining she was overheated. Clinton Cancels California Trip Because of Health Concerns
 
Inanikumbusha Lowasa kipindi cha uchaguzi Tanzania,Trump naona anaikaribia ikulu

Watu walikuwa wanabisha eti si mgonjwa wakati ukimwangalia unaona kabisa hayuko sawa.
Ha ha ha.
Mmenikumbusha matusi yalivyokua yanafurumushwa hapa kwa kila aliyesema kuwa Lowassa ni mgonjwa..
Hali ya hewa ilikuwa chafu na menno yenye ukakasi mwingi.
 
Mi nampenda huyo Mama.. nikiona video zake wanavyosema anaumwa najisikia vibaya hatari.....
kama ile anakohoa jukwaani nilitamani niwe na nguvu za ajabu nifanye ache kukohoa.

Naona Mama Clinton anasema ''kikohozi hiki si bure kitakuwa ni mkono wa wale wazee wa kamati ya ufundi ya Trump maana kila nikiwaza tu jina la Donald Trump tayari nakabwa na kikohozi''

Hillary Clinton Coughing Attack in Cleveland- FULL VERSION (REALLY BAD!)

Source: Right Side Broadcasting
 
Kuumwa mbona ni kawaida kwa binadamu!
Huwezi ukakohoa na kujamba ovyo majukwaani ukiomba ridhaa ya kuongoza US halafu iwe kawaida wewe. Labda vijinchi vingine sio USA.
 
Malipo ni hapa hapa duniani. Bado Condoleezza Rice, baada ya kifo cha Saddam aliongea maneno ya kufanana na hayo!
Wamarekani ndivyo walivyo bora uwachukie wote tu, Rice ni Republican, Clinton Democrat! Umeshamsikia na Trump tayari!
 
Lilimuua Gadhafi hili limama shetani kubwa hili..
 
Mbona JK wakati wa kampeni alikua anadondoka dondoka… baada ya kupata urais hakudondoka tena
 
Mbona JK wakati wa kampeni alikua anadondoka dondoka… baada ya kupata urais hakudondoka tena
Kampeni zina taabu zake, hata Lowassa alipata misukosuko hadi watu tukapata hofu.
Kampeni zimeisha anadunda tu aisee.
 
nilikuaga nampenda sana baada ya hayo maneno nikamchukia sana,Trump for presidence
Huyo alipanga ama alishirikishwa mauaji ya magaidi kadhaa, sasa huyo Trump wako si atawanyorosha magaidi wote pamoja na wafuasi wao ukiwemo wewe?
 
Back
Top Bottom