Inawezekana Hillary Clinton ni mgonjwa kweli

Inawezekana Hillary Clinton ni mgonjwa kweli

Watu walikuwa wanabisha eti si mgonjwa wakati ukimwangalia unaona kabisa hayuko sawa.
Ngabu upo side ipi..najua haupo kwa Trump..upo kwa Hillary.. Lakini ka unamsaport mttu huwezi kuwa.negative kwake.Okay..kwa umri wake tokea aanze kampeni mpaka leo kuchola au.kuumwa ni kawaida.na si.dhambi ya kuukosa Urais.She deserve
 
Sipo upande wowote ule mwaka huu.

Wote Hillary na Donald ni wabovu tu.

Hakuna mmoja wao anayestahili.

Na wala sijawa negative.

Kilichomtokea leo ni kitu cha ukweli.

Hakuna uzushi wala chumvi iliyotiwa hapo.

The woman is unwell.
 
hakuna kitu hapo ni fatigue tuu za campaign,kupiga campaign wanayopiga 24/7 non stop sio mchezo hata wengine wananguka tuu ila bahati media hazioni, tiredness na stress kwa hawa wagombea is too much to handle hata Kikwete alianguka kenye campaign, mgonjwa ni yule Trump na akili zake za Alzheimer za kutukana ovyo
 
Mchuma machungwa wa Rancho Cucamonga...uko off nini leo?

Bibi mgonjwa huyo wewe.

Endeleeni kuwa kwenye denial tu.
 
Inaweza kuwa si tatizo au ni tatizo kubwa. Yupo hapa kiongozi wetu alianguka mara mbili lakini alimaliza miaka kumi salama salmin

Hillary siyo leo tu.

Hajaanza leo haya mambo ya kuanguka na kutaka kuanguka.

Au kaanza leo na watu wanamuonea tu?
 
Kaanza lini na ilikuwaje?

Kaanza leo tu kwa hiyo si big deal.

She's as healthy as a fiddle.

Hillary-Clinton-Helped-Up-Steps.jpg

Hata wewe vilevile.

Focus na hilo tunye tunye lako.

Hivi leo limekupikia nini? Macaroni and cheese?

Sipati picha mnavyopokezana kujamba hapo living room😀.
bahati mbaya siwezi kuweka mali zangu humu ila hata Tyra Banks haingii
 
Huyu mama ni mgonjwa. Hata akishinda uchaguzi I think she will be a one term President!. Dr. Wake anasema alikuwa na pneumonia on Friday!.

Hawezi kudumu miaka 8 huyo.

Minne tu sidhani kama atafikisha.

Halafu it seems like it's getting progressively worse.
 
Hawezi kudumu miaka 8 huyo.

Minne tu sidhani kama atafikisha.

Halafu it seems like it's getting progressively worse.

Ni kweli kabisa. Kuwa Raisi wa Marekani ni shughuli si ya kitoto, unatakiwa uwe fit kweli kweli!. Ndio maana hata wakishamaliza vipindi vyao wanaishi mda mrefu sana( walio wengi) kwani afya zao zinakuwa ni imara sana!.
 
Back
Top Bottom