Mkuu Mupirocin, kwanza asante kwa maelezo marefu ya kina, unachambua vizuri, ila nina ushauri mdogo kwako.Sababu ya Nne: CAG kakosea kutamka Bunge ni dhaifu jumla jumla. Yaani kusema Bunge ni dhaifu bila kusema katika lipi? Hivi ni kweli kwamba mambo yooote yanayo ainishwa na CAG bunge halifanyii kazi? Kama ni hivyo ingewezekana vipi hati chafu zikapungua. Mbona mambo mengi sana yaliyoibuliwa na CAG yanajadiliwa Bungeni na kufanyiwa kazi. Sasa kutamka kauli isiyo na maelezo kama hii hakika ina tatiza. Unapolenga kumkosoa mtu inafaa kumwambia umekosea katika lipi na kama ni udhaifu wa bunge ni katika lipi? Je kutunga sheria? Kushauri serikali? Kusimamia serikali? Au katika lipi?
Kwa maoni yangu haya ndio makosa ya CAG katika hili.
Nimekuelewa MkuuHuwezi sema imepotea mpak aliye kuwa nayo athibitishe au ashindwe kuionyesha, hivyo CAG alipo ulizwa alikuwa bado upande wa pili hawakutoa maelezo yao
Sent using Jamii Forums mobile app
I like this, haiwezekani wote tujengane understanding kuona Bunge ni dhaifu, the Controller and Auditor General in Controlling alipaswa kufanya KAZI na TAKUKURU katika maeneo yanayofanya mounting of Tsh 1.5tr, ili wote tujue through him as a detector.Jibu sahihi na Kuntu Mimi naona ni kwamba Watanzania wote kwa ujumla Wao / Wetu ni dhaifu.
I like this, haiwezekani wote tujengane understanding kuona Bunge ni dhaifu, the Controller and Auditor General in Controlling alipaswa kufanya KAZI na TAKUKURU katika maeneo yanayofanya mounting of Tsh 1.5tr, ili wote tujue through him as a detector.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aliulizwa imeibiwa? Akasema hapa....report inaonyesha kwamba fedha hizo hazina justufication so hajui zilipotumika. Labwq zimeibwa au labda wamekosea kuweka sawa hesabu zao....Huwezi sema imepotea mpak aliye kuwa nayo athibitishe au ashindwe kuionyesha, hivyo CAG alipo ulizwa alikuwa bado upande wa pili hawakutoa maelezo yao
Sent using Jamii Forums mobile app