Inawezaje kusimama?

Hahahaha
 
jukwaa limevamiwa inabidi tupime IQ yako mkuu kwanza
 
hii habari si ya kupikwa?

yaani watu wanaongea na redio jambo la aibu kama hilo lilowapata?

mnh,kwa faida ya nani?
Inawezekana jamaa kaipika

Ila nilichomuelewa yeye alitafuta jinsi ya kuwasilisha hiyo SITUATION (mfano ikitokea kwa upande wako .. itawezekanaje kutekelezwa?)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…