mfano
JF-Expert Member
- Dec 25, 2014
- 670
- 1,134
Usaliti, usaliti, usalitii,. Maisha ya kimapenzi Leo yame gubikwa na usaliti.. Watu wana vaa sura za mbwa mwitu, na roho za kishetani ana kuambia "ukitaka kumuua nyani usimwangalie usoni" basi hapo ana la kujali wala kukumbuka ni mazuri mangapi umemtendea, ili mradi kashapata kasababu kake kamoja basi ndo anaivaa kama ngoa na chepeo ya kukuangamizia.
Basi ana kugeuza tu anavyo taka Leo kakubanika, kesho ana kukaanga kesho kutwa anakuchemsha, mtondogoo ata kuchoma na kukuoka,. Wala maumivu na machozi yako ya damu hayamtishi wala kumuogopesha,. Hamna cha "ni hurumie na umia" wala "samehe Mara sabini" na kama wewe ndo ulianza basi yeye ndo ana maliza hivoo.
Jamani hii yote chanzo chake ni uhaba Wa matendo ya huruma, matendo yanayoweza kuturudishia hofu ya mungu katika mioyo yetu, yanayo weza kutupatia mguso wa kuhisi tatizo la mwenzako kama la kwako, Matendo yanayoweza kutu lainishia hii mioyo yetu ya jiwe iliyo funikwa na ukatili na ubinafsi, na kuturudishia mioyo yetu ya nyama yenye utu na ubinadamu ndani yake.
Hivi unaanzaje kwa mfano kumtendea mtu jambo baya wakati maumivu yake unayahisi pia,.?Najua ni jambo zuri tena sana, kuwatoa out wapenzi wetu, weekends na kila wakat tunapo pata fursa ya kufanya hivo. Lakini na shauri badala ya kuwafululiza sehemu za starehe na maeneo ya mengine ya kula bata, basi changanya Siku mojamoja nendeni mahospitalini mkaone watu wenye mateso yao, hivohivo kwa wafungwa na wajane.
Usisahau na kwatoto yatima chezeni nao muwafariji, sikilizeni mikasa yao yakimaisha.Japo hiyo inaweza isiwe tiba kiujmla. lakini inaweza ikasaidia kutujengea uungwana na kupunguza matendo yasiyo ya huruma kama usaliti nakadhalika katika maisha kiujumla.