Inawahusu zaidi wanawake

Acha kutukana,matusi nayajua sana naweza kukutukana wewe mpaka ukapungua uzito mxeeee kubwa jinga usiye jielewa agaaah
Kwan kuna ubaya gan mi kutaka kujua, if a woman can love more of a husband than a kid? Nataka kujua tuu, km limekuchoma just shut ur f**k up!!
 
Vile unalazmisha tujb ni hv,nitamwambia aue mume mana wanaume wapo tu ila mtoto unaweza kuta umepewa huyohuyo.nadhani umeridhika mkuu.hivyo amua uoe au uache.
 
Vile unalazmisha tujb ni hv,nitamwambia aue mume mana wanaume wapo tu ila mtoto unaweza kuta umepewa huyohuyo.nadhani umeridhika mkuu.hivyo amua uoe au uache.

Hapo sawa mkuu.. Umeniridhisha kabisa, and this does not prevent me from marrying coz tuliumbiwa Hawa/Eva..
 
Hapo sasa tupo pamoja, sio kumung'unya maneno tuu..!! Ila mimi nadhani nitabaki nawewe coz mtoto tutampata mwingine!!

Mm hapana watoto wamekuwa mbinde sana nikimtoa afu nisipopata mwingine je? .... nyie hamkawii kuoa mke wa pili akuzalie mtoto na kutelekeza ....... afu mtoto ni malaika hana kosa bora ww umeshaujua ulimwengu.n iiiiih wakuue tu
 
Asa mimi nawewe ndio tumeacha wazazi tuungane kama mwili mmoja, mwanetu ikifika mda pia atatuacha aungane na mwenza wake, je huoni km upendo mkuu upo kwa mwenza kuliko kwa mwana..? Anyway, kama hana kosa then hata akiuawa ataenda kwa mbingu akati sisi tutapata mda wa kutubu na tutamzalia wenzake maana mi mali ghafi wewe kiwanda!! Thanks!!
 
Salamu ndugu zangu.Mimi ni mwanaume, 28 yrs, nategemea kuoa mida ikifika.

Swali: Ukiwa kama mke wa mtu, una mtoto au watoto, akatokea jambazi au lolote jitu, ikawa amri uchague kati ya mmeo au mtoto mmoja wapo auawe na wawili mpone utachagua nani kumtoa sadaka; mme au mtoto.

Nawasilisha.

Mtoa post sasa weweeeeeee dah anyway utachagua mwenywe ikikutokea maaana kuna vitu vya msingi vya kuomba ushauri lakini sio hili aya bhana nikutakie ndoa njemaa
 
Mtoa post sasa weweeeeeee dah anyway utachagua mwenywe ikikutokea maaana kuna vitu vya msingi vya kuomba ushauri lakini sio hili aya bhana nikutakie ndoa njemaa
Burtons mi hoi hapa kila nikirudia kuisoma hiyo topic yake,nafkr unaelewa ninachocheka.I wish angetupia na picha yake ili tucheke zaidi.Some ppo are born to others happy,its a talent!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom