Inawahusu wajasiriamali tu

Inawahusu wajasiriamali tu

benbry

Senior Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
183
Reaction score
55
Nauza salon ya kiume, ipo maeneo ya bigbrother manzese, ina vitu vifuatavyo, ac, viti 2, sterlizer machine, tv, startimes, makochi 2, mita ya luku, taa mbili za urembo nje. Kwa ufupi ni nzuri, kodi ni 150000 kwa mwezi, iliyolipwa itaishia mwezi May 2014. hesabu ni makubaliano na kinyozi wako. Bei tukutane pm twende sawa.
 
milion 2
 
Back
Top Bottom