Si mlimpiga Mzee Warioba makofi?Hakuna katiba uliyoshindwa kama kitu kinachoitwa katiba ya Tanzania; sijui viongozi wetu wanajisikiaje wanapoibeba kwenye koti.
Yaani ukitoka nje ya nchi unsikia MTU kutoka Unguja anajitambulisha kua yeye ni Mzanzibari alafu MTU kutoka Kahama anajitambulisha kua yeye ni Mtanzania; ukishika na kuangalia makabrasha zao yaani kichefuchefu......kama hamtaki kuifuta Zanzibar basi tambueni pia Tanganyika.
Aisee mzee warioba alizabuliwa vibao utadhani kibaka kisa kusema ukweliSi mlimpiga Mzee Warioba makofi?
Kwa mtu makini hawezi kuelewa huyo Rais wa jamhuri yauungano wa Tanzania kutoka visiwani ni yupi kwani hatuna rais wa aina hiyo.Kama tujuavyo Zanzibar kama nchi yenye serikali yake kamili, inazo serikali zake za mitaa na zinajitegemea zikiongozwa na rais wa Zanzibar. Rais wa Zanzibar anatoa maelekezo na maagizo kwa halmashauri hizo. Rais wa jamhuri ya Muungano hana nafasi kutoa maagizo na maelekezo katika Halmashauri za Zanzibar akifanya hivo jua kuwa anaziagiza halmashauri za Bara tu.
Mfano Mh rais alivyotoa maagizo kwa halmashauri zote nchini kutenga fedha za kununulia dawa ya kuua vimelea vya malaria (larvacides) na alitoa muda kwamba halmashauri zote kwenda katika kiwanda kinachotengeneza dawa hizo kununua dawa hizo mara moja. Agizo hili lilizihusu Halmashauri zote za Bara tu.
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka visiwani anayo mamlaka ya kaziagiza Halmashauri za Bara kutekeleza maagizo ya rais huku hana mamlaka ya kaziagiza halmashauri za visiwani kutekeleza maagizo hayo.Rais huyu anayetoka visiwani anajua vyema changamoto zinazokabiri Halmashauri za Bara?
Je anaweza kuwa na nia njema ya kuhakikisha halmashauri za Bara zinapiga hatua? Mie siamini kama rais huyo anaweza kutoa maelekezo swahihi kwa Halmashauri asizozijua vyema.
Kabla sijamaliza kusoma thread yako:Kama tujuavyo Zanzibar kama nchi yenye serikali yake kamili
Then naunga mkono hoja yako ambayo nafikiri inamaanisha kwamba ni wazanzibari wachache wenye mapenzi ya kweli na Tanganyika au MuunganoHakuna ila mtu kutoka visiwani kufanya maamuzi ya ndani ya Bara siamini
We unajua Zanzibar ni nini?
Kabla sijamaliza kusoma thread yako:
Koma we Zanzibar sio nchi
Mkoa wenye wilaya kubwa mbili (Unguja na Pemba)We unajua Zanzibar ni nini?
Hata kikivunjwa watafanywa nini? Mbona huyu wa Tanganyika ameshavunja katiba na hakuna lolote analofanywa. Kwa nchi za kiafrika rais huwa ndiye katiba yuko huru kufanya lolote analotaka na akashangiliwa. Na rais ndiye huonekana ndiye mwenye akili kuliko watu wote katika nchiKwani kuna kipengele cha katiba kilichovunjwa?
Kutoka bara haimaanishi unazijua halamshauri zote za Tanzania bara.Je anaweza kuwa na nia njema ya kuhakikisha halmashauri za Bara zinapiga hatua? Mie siamini kama rais huyo anaweza kutoa maelekezo swahihi kwa Halmashauri asizozijua vyema.