Inauma sana nahaivumiliki

Loly

JF-Expert Member
Mar 10, 2011
509
209
Habarini za leo mmu,

Hivi hii tabia chafu ya wanaume unakuta mtu ameoa mke wake cha ajabu yule mwanamke ndio anamlisha,mke akijifungua gharama zote juu ya mwanke uzazi mwanamume hachangii hata thumuni. Chakula cha familia ni mama majumu yote ndani mumba ni mke ada za shule ni mama mwanaume hana mamchango hata kumi, halafu mwanaume anajidai ana mamlaka jùu yako hivi hiyo ni haki au ni unyanyasaji.

Hayo ndio maisha mdogo wbngu anaishi inaniuma mume wake ni mlevi wa kupindukia hela zake ni kwenye bia na kitimoto anapenda kula kama nini hayawahi kumnulia mkewe wala watoto wake chochote zaidi ya kujidai yeye ni bac inauma jamani kweli yaani mwanao hadi anaingiza 10 hujawahi mnunulia chochote jamani ina kera mkeanakusia unakubali.

Tpuuuuuuu namalizia kwakuwatema mate minaume ya sampuli hiyo. Haa aa hata mabinti wanaume wananafuu kwanza kwa mwenyezi mungu hiyo dhambi, unaishi kwenye nyumba ya mkeo baeo anakulisha na kukuzvisha mtumzhma nakazi unafanya? Lol aibu jamani wanaume msiwatendee hivyo wake zentu.

0
 
Huyo siyo mwanaume ndugu yangu... Ujue kuna tofauti kati ya mwanaume na wakiume...mwambie mdogo wako aachane nae! Mwanaume suruali wa nini huyo?
 
Huyo siyo mwanaume ndugu yangu... Ujue kuna tofauti kati ya mwanaume na wakiume...mwambie mdogo wako aachane nae! Mwanaume suruali wa nini huyo?
Partner habari yako banaa nirudishie ile
buku niliyokukopa, halafu huyu mwanaume dah anyway hii ngoja niendelee kuitafakari...
 
Kabla ya ndoa alikuaje???
Usikute alikua hivyo hivyo mdogo wako akadhani wakiingia ndoani ndo mwanaume ataanza kufungua pochi.
Watu wengine hua wanalalamikia vitu ambavyo waliviona na kuvipuuza tangu mwanzo baadae kabisa...unakuta mtu anamlaumu mwenzake wakati alikumkubali kama alivyokua huku akitegemea mabadiliko ambayo hakuahidiwa.

Mpe pole mdogo wako...aendelee tu kulea wanawe maana hata akiacha hatokua anamkomoa mume.
 
Partner habari yako banaa nirudishie ile
buku niliyokukopa, halafu huyu mwanaume dah anyway hii ngoja niendelee kuitafakari...
Swahba mie bukheri kabisa, ukinijuza khali yako ntapata faraja zaidi.....

Niko hapa bank nafanya mpango nikudipozitie hiyo buku yako...lol. Huyo mwanamume hebu endelea kumtafakari afu uje na majibu ya kuridhisha...
 
Loly labda nikuulize swali umejaribu kumpa ushauri gani mdogo wako?
nimemwambia amueleze mumewe anadai anamwambiaga
kila siku mumewe anamwambia hana hela, nimemshauri asafiri anadai akirudi atakuta watoto waekufa na njaa baba yao hawajali kwa mlo wala kwa lolote
 
hivi umekuja kutuletea undani wa familia ya mdgo wako au unatakaje,wewe ka dada yake umeshachukua hatua gani za mwanzo??????????????
 
dunia na vituko vyake mpe pole mdogo wako..........
kuna kitu sikielewi mbona idadi ya wanaume wa sampuli hii wameongezeka sana tatizo ni nini?

Chauro hao tuwaite magume gume sio wanaume!Mwanaume ana sifa zake bwana!Shurti warudi nyumbani watoto wajue kweli baba karudi! Huyo aolewe tu, akikosa wa kumuoa mkewe amwazime dera na vipodozi, atapata tu wakumuoa.
 
Swahba mie bukheri kabisa, ukinijuza khali yako ntapata faraja zaidi.....

Niko hapa bank nafanya mpango nikudipozitie hiyo buku yako...lol. Huyo mwanamume hebu endelea kumtafakari afu uje na majibu ya kuridhisha...
Uchukue na bank slip kabisa ya kuonyesha malipo tukirudi kwenye mjadala huyu mdogo wake Loly bila shaka
anajua tabia za mumewe vizuri na sio kwamba hizi tabia zime-develop ghafla tu kama hili jambo aliliona tokea mwanzoni na akuchukua hatua kujaribu kurirekebisha basi ni dhahiri hapa kimeumana tayari cha msingi yeye aendelee kulea watoto wake akizidi kumfuatilia huyu mwanaume atapata frustration zisizo na msingi
 
Kabla ya ndoa alikuaje???
Usikute alikua hivyo hivyo mdogo wako akadhani wakiingia ndoani ndo mwanaume ataanza kufungua pochi.
Watu wengine hua wanalalamikia vitu ambavyo waliviona na kuvipuuza tangu mwanzo baadae kabisa...unakuta mtu anamlaumu mwenzake wakati alikumkubali kama alivyokua huku akitegemea mabadiliko ambayo hakuahidiwa.

Mpe pole mdogo wako...aendelee tu kulea wanawe maana hata akiacha hatokua anamkomoa mume.
yaani hata sijui maana mapenzi yao hakua ya urafiki yalibezi kwenye kufunga ndoa walivyoona siye hatukujua yanayoendele huko nadani kwao hawajawahiyalibezi
kwe nye upendo hadi sasa hivi ndio amechoka kumlea anatoboa rsiri hiuzo, ila hapendi mumewe ajue hama
tunajua
 
dunia na vituko vyake mpe pole mdogo wako..........
kuna kitu sikielewi mbona idadi ya wanaume wa sampuli hii wameongezeka sana tatizo ni nini?

kweli Chauro,kesi kama hizi zimekuwa nyingi sana nawa daizi.
sijui tatizo ni nini
 
Uchukue na bank slip kabisa ya kuonyesha malipo tukirudi kwenye mjadala huyu mdogo wake Loly bila shaka
anajua tabia za mumewe vizuri na sio kwamba hizi tabia zime-develop ghafla tu kama hili jambo aliliona tokea mwanzoni na akuchukua hatua kujaribu kurirekebisha basi ni dhahiri hapa kimeumana tayari cha msingi yeye aendelee kulea watoto wake akizidi kumfuatilia huyu mwanaume atapata frustration zisizo na msingi
Lol bank slip ntaituma kesho kwa dar x'pres si elfu tano tu kutuma?...

aisee kazi anayo, mbaya zaidi ana watoto sio mtoto...namhurumia ila ni kweli alizijua tabia za mumewe mapema na bado akaamua kuolewa nae manake kuna mahali amesema 10yrs hajawahi kununua hata kijihanjifu cha mtoto achilia mbali chupi, khaaa. Mbaya zaidi hela za kulewa anazo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom