INAUMA JIFANYE HUJUI ,MKE MSOMI YUKOJE?

INAUMA JIFANYE HUJUI ,MKE MSOMI YUKOJE?

Kweli kabisa 100%. Kuna mabinti wa chuo fulani niliwaoa mara tatu ndani ya 4yrs! Halafu wote watatu ni walokole wa kulala na bible kitandani.
Kwanza anaingia na bible na kulala nayo kitandani, akienda likizo akarudi semester ya pili inahamia mezani, semester ya tatu bible inahamia kwenye begi, baada ya hapo akienda likizo bible na ulokole vyote anaviacha huko.

Mbaya zaidi kila niliyeachana naye aliolewa kwa bwana mwingine ndani ya mwezi mmoja tu! Halafu muda wote michepuko na madanga walikuwa nayo ya kuwatosha.

Mmoja nilishika simu yake na kugundua ni kocha wa wachoropoa mimba wa kwao! Yaani mabinti kibao wa mtaani kwao wanamuomba awaelekeze namna ya kutoa mimba, anawatiririkia maelekezo kama vile ni daktari bingwa wa hilo zoezi. Halafu ukicheki binti mwenyewe mlokole hatari, kila wakati ananilaumu kwamba nimemuingiza dhambini nikawa namcheki tu nasema hiiiiiiiiiiii!

Leo hii mtu anaoa anatamba kaopoa msomi, mabaharia tunawachora tu.
Kuna mtu ataolewa nawe atambe kapata mume, mzunguko ni ule ule.[emoji134][emoji134][emoji134]
Hakuna alie msafi, kama yupo awe wa kwanza kunyoosha kidole.
 
....Kiukweli kabisa usiofichika kuoa wanawake wanaopitia vyuoni kuna asilimia kubwa sana ya kuoa mke wa mtu au mke alieachika (mjane) au mbaya zaid unaweza ukaoa ata mama wa marehemu fulani (ke aliyetoa mimba) ila wapo ambao hawana ayo mambo ila ni wachache sana...
Kama mke wangu.
Pamoja na kupita kote huko
Nikakuta kitu sealed ...wapo buwana

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
 
Kweli kabisa 100%. Kuna mabinti wa chuo fulani niliwaoa mara tatu ndani ya 4yrs! Halafu wote watatu ni walokole wa kulala na bible kitandani.
Kwanza anaingia na bible na kulala nayo kitandani, akienda likizo akarudi semester ya pili inahamia mezani, semester ya tatu bible inahamia kwenye begi, baada ya hapo akienda likizo bible na ulokole vyote anaviacha huko.

Mbaya zaidi kila niliyeachana naye aliolewa kwa bwana mwingine ndani ya mwezi mmoja tu! Halafu muda wote michepuko na madanga walikuwa nayo ya kuwatosha.

Mmoja nilishika simu yake na kugundua ni kocha wa wachoropoa mimba wa kwao! Yaani mabinti kibao wa mtaani kwao wanamuomba awaelekeze namna ya kutoa mimba, anawatiririkia maelekezo kama vile ni daktari bingwa wa hilo zoezi. Halafu ukicheki binti mwenyewe mlokole hatari, kila wakati ananilaumu kwamba nimemuingiza dhambini nikawa namcheki tu nasema hiiiiiiiiiiii!

Leo hii mtu anaoa anatamba kaopoa msomi, mabaharia tunawachora tu.
Mkuu hao wafia dini ndo hatari zaidi
 
Kuna mtu ataolewa nawe atambe kapata mume, mzunguko ni ule ule.[emoji134][emoji134][emoji134]
Hakuna alie msafi, kama yupo awe wa kwanza kunyoosha kidole.
Dada tofautisha ME na KE, usilinganishe kabisa. Uhalisia ni kuwa kidume kikitumia machine yake kitaitwa dume la mbegu na wanawake watazidi kujisogeza, lakini wewe ukitumia papuchi sana utaishia kuitwa malaya, kutumika, kubwagwa na kudharaulika.
 
Hiyo iko kichwani mwako tu na dunia haizunguki kichwani mwako. Wote mtaonekana "malaya" na bahati nzuri bado ni dhambi pia kwa wote. Sasa badala ya kujisifia ujinga hebu kaa chini tafakari kile ukifanyacho sasa kitakuwa na madhara gani kwako na kwa familia yako.

👊🏽👊🏽👊🏽👊🏽👍🏽

Wanaume ndio sisi sisi. Tunaofukunyua toka form 3. Vyuoni ndio sisi sisi tunagonga. Kazini ndio sisi sisi tunaparamia. Hata kuoa tutaoa sisi. Hakuna wanaume wanao toka mwezini kuja kufanya huo upupu ndio sisi wenyewe
 
Hiyo iko kichwani mwako tu na dunia haizunguki kichwani mwako. Wote mtaonekana "malaya" na bahati nzuri bado ni dhambi pia kwa wote. Sasa badala ya kujisifia ujinga hebu kaa chini tafakari kile ukifanyacho sasa kitakuwa na madhara gani kwako na kwa familia yako.
Mbona povu bibie? Umeguswa na uzi nini? Jilaumu kwa kuiachia ovyo kule chuo, usimalizie hasira zako kwangu
 
Hiyo iko kichwani mwako tu na dunia haizunguki kichwani mwako. Wote mtaonekana "malaya" na bahati nzuri bado ni dhambi pia kwa wote. Sasa badala ya kujisifia ujinga hebu kaa chini tafakari kile ukifanyacho sasa kitakuwa na madhara gani kwako na kwa familia yako.
Kuna kitu nilitamani kufanya, Ila comment yako imenirudisha nyuma hatua moja, ni hatua moja nyuma[emoji23] huenda nikapiga hatua nyingi kuelekea nilichotaka kufanya [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Walau huyu wa nyumbani unaweza kwenda hospitality kupima bikra

Wachuo ukitakahilo ,akitaka mupime ukimwi mwambie unaomba mucheki bikra atakimbia !!!!
Na mwanaume ndo kabisa, akiambiwa apimwe bikira atakimbia sanaa
 
Kuna mumomonyoko wa maadili takwimu zinasema kwa hapa Tz Pemba hadi binti wa miaka 20 wapo mabikra asilimia60

Nchi za Asia mabinti wengi ni mabikra pamoja na kuwa badobwako vyuo vikuu

Africa mabikra ni shida kweli !! Pamoja na kuwa watu hususa mabinti wengi eti wameokoka tangia form 1
Labda bikira ya mbele, ukiwachunguza utakuta hawana bikira za nyuma
 
Kuna kitu nilitamani kufanya, Ila comment yako imenirudisha nyuma hatua moja, ni hatua moja nyuma[emoji23] huenda nikapiga hatua nyingi kuelekea nilichotaka kufanya [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]
Ex darling naomba isiwe ninachowaza maana najua huwezi.
 
MKUU UKIWAZA HIVYO HUTAKUJA KUOA MAISHANI
Hata yule aliefeli la saba nae maisha ya kitaa yatamfanya awe na msusuru wa mabwana kama hajitambui.
Cha muhimu ni kujitambua tu iwe aliesoma au hajasoma

Kama hajaenda shule boda boda au wauza genge watakuwa wamejipigia vya kutosha
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Ex darling naomba isiwe ninachowaza maana najua huwezi.
[emoji23][emoji23] huwezi amini, ninaanza kupiga hatua moja kwenda ninachotaka kufanya[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Wanawake wengi(sio wote) ni pasua kichwa. Cha muhimu tafuta mmoja ambaye unaweza kukabiliana naye.
 
Wanaume na nyie kama hamna akili vizuri. Hizo bikra mnazo lalamika hazipo siku hizi si ndo mlizozitoa toka wakiwa form 1? Acheni unafki
 
Hatua hizo naomba zielekee kwangu tafadhali[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Back
Top Bottom