Lakini bado kuna wapumbavu wanajiua kwa madem wa aina hiyo.Tuliopitia maisha ya shule za bweni tunajua .
Binti anaingia boarding ya me /ke
Akiwa form two anapata mume wake wa kidato cha tatu ,yule mume au boy friend akimaliza form 4 anapata mume mume mwingine, hadi naye binti anamaliza form 4
Akimaliza secondary wengi wanaenda vyuo kwani high school anashindwa automatically kwa tabia hizo
Akifika chuo anaanza na dume lingine
Hadi anamaliza ,chuo hakosi midume mitatu .
Akimaliza chuo anapata ajira ,sasa akiolewa ,na ww hesabu we mume wa ngapi?
Ukweli binti wa shule ,unakuja kuoa ,mke wa wenzako,
Ushauri ,ukimuoa acha wivu ,wenzio walishapita sana,we jari maendeleo na maisha ya baadaye.
Umenena vyema. Mnavuna mlichokipanda!Wanaume ndio sisi sisi. Tunaofukunyua toka form 3. Vyuoni ndio sisi sisi tunagonga. Kazini ndio sisi sisi tunaparamia. Hata kuoa tutaoa sisi. Hakuna wanaume wanao toka mwezini kuja kufanya huo upupu ndio sisi wenyewe
Pale Nansio-Ukerewe. Wapo wale wanaooga uchi ziwani pamoja na vidume. Wamekaa kibaharia sana, safi kabisa. Hawajui hata chuo ndo nini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wa mwalo upi??
Umenena vyema. Mnavuna mlichokipanda!
kungekuwa na option una click mtoa comment anapelekewa kinywaji apendacho popote alipo ingekuwa poa. [emoji106]
Kuna mumomonyoko wa maadili takwimu zinasema kwa hapa Tz Pemba hadi binti wa miaka 20 wapo mabikra asilimia60
Nchi za Asia mabinti wengi ni mabikra pamoja na kuwa badobwako vyuo vikuu
Africa mabikra ni shida kweli !! Pamoja na kuwa watu hususa mabinti wengi eti wameokoka tangia form 1
Yaani tuanjitisha wenyewe hahaaWanaume ndio sisi sisi. Tunaofukunyua toka form 3. Vyuoni ndio sisi sisi tunagonga. Kazini ndio sisi sisi tunaparamia. Hata kuoa tutaoa sisi. Hakuna wanaume wanao toka mwezini kuja kufanya huo upupu ndio sisi wenyewe
Yaani tuanjitisha wenyewe hahaa
Una akili sana nimekupenda bureWanaume ndio sisi sisi. Tunaofukunyua toka form 3. Vyuoni ndio sisi sisi tunagonga. Kazini ndio sisi sisi tunaparamia. Hata kuoa tutaoa sisi. Hakuna wanaume wanao toka mwezini kuja kufanya huo upupu ndio sisi wenyewe
Una akili sana nimekupenda bure
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji8]
[emoji8][emoji8][emoji8]
Cha kuongezea hapo na akiwa kazini atakuaga anakwenda semina napo watammega tena.Tuliopitia maisha ya shule za bweni tunajua .