Inatumia dakika ngapi kupanda ghorofa 100 kwa elevator ya umeme?

Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
12,417
30,927
Kwa wale ambao ni malejendari wa mjini tuliozoea kupanda skyscrapers hasa za pale Manhattan New York, je inatumia dk ngapi kwa kutumia electricity elevator kupanda gorofa 100?

Mimi nilikadiria dk kumi mpk 13 wewe je?
 
Kwa vigorofa vya dar ambavyo havizidi 50 Kama vile vitwin tower vya bandari nadhani from basement to top ni dk tano.
 
Kwa wale ambao ni malejendari wa mjini tuliozoea kupanda skyscrapers hasa za pale Manhattan New York, je inatumia dk ngapi kwa kutumia electricity elevator kupanda gorofa 100?

Mimi nilikadiria dk kumi mpk 13 wewe je?
It's depend on pitch of elevator
 
Kwa wale ambao ni malejendari wa mjini tuliozoea kupanda skyscrapers hasa za pale Manhattan New York, je inatumia dk ngapi kwa kutumia electricity elevator kupanda gorofa 100?

Mimi nilikadiria dk kumi mpk 13 wewe je?
Inategemea na setting ya speed. Mara nyingi speed ya elevator hutegemea urefu wa ghorofa.
 
Kwa wale ambao ni malejendari wa mjini tuliozoea kupanda skyscrapers hasa za pale Manhattan New York, je inatumia dk ngapi kwa kutumia electricity elevator kupanda gorofa 100?

Mimi nilikadiria dk kumi mpk 13 wewe je?
Makadirio ya spidi ya lift ni muda wa kama sekunde 3 hivi kwa ghrorofa moja. Kwa hiyo ni sekunde 300 kwa ghorofa 100, sawa na dakika tano.
Hapa ni lift ile iliyotembea moja kwa moja kutoka ghorofa ya kwanza mpaka ya mwisho bila kusimama njiani.
Ukiongeza na muda wa kusimama njiani, it can take anything somewhere between 10-15 minutes kwa ghorofa mia, depending on the intensity of traffic (abiria) on its way up or down
 
This is exactly what I estimated
 
Back
Top Bottom