Kikwete Kwa Kuwa Una Roho Na Unajitambua Mwenyewe Mambo Uliyokwisha Kuyafanya Na Kwa Kuwa Mungu Amekujalia Wadhfa Wa Kuwatawala Watanzania, Fanya Hivi, Hakikisha Mali Yoyote Uliyoipata Kwa Njia Ambayo Unafikiri Siyo Halali, Iwe Ni Ulipewa Kwa Kuhongwa Ama Vyovyote Vile Pls Naomba Irudishe Kwa Watanzania Tena Fanya Hivyo Kimya Bila Ya Mtu Yeyote Kujua Wewe Na Roho Yako Tu Na Kuna Namna Nyingi Za Kurudisha, Unaweza Ukaitoa Kwa Yatima, Au Wagonjwa, Au Vilema, Au Wajane Ili Mradi Tu Uhakikishe Haiko Mikononi Mwako, Na Baada Ya Kufanya Hivyo Utubu Mbele Ya Mungu Wako Baada Ya Kufanya Hivyo Amini Nakuambia Utasamehewa Maana Litakalofungwa Duniani Na Mbinguni Limefungwa Sasa Ukishajua Ya Kuwa Ni Msafi Kabisa Basi Mungu Atakupa Uwezo Wa Kufanya Chochote Chema Kwa Watanzania Na Sifa Zako Zitakuwa Ni Kuu Kuliko Za Watawala Waliokutangulia Na Kwa Miujiza Ya Mungu Wananchi Watakupa Fursa Ya Kuwa Mtawala Kwa Miongo Miwili Na Nusu. Amini