Inatakiwa SUNY ACCOUNTING SOFTWARE | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Inatakiwa SUNY ACCOUNTING SOFTWARE

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Yona F. Maro, Jul 7, 2010.

 1. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #1
  Jul 7, 2010
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Kunahitajika SUNY System Version 4.3 Accounting Software kwa ajili ya users 4, pia tunataka atakayeweza atatakiwa kutoa mafunzo ya namna ya kuitumia. Kwa sasa ofisi imekuwa ikitumia SUNY System Version 4.2.6. Ni muhimu kuzingatia kuwa iwe na modules zifuatazo: General Ledger, Fixed Assets Register, Corporate allocation na Vision ( Executive na Excel). Tunataka kampuni iwe ni ya Kitanzania, iwe imesajiliwa, iwe na office, kutakapokuwepo makubaliano yafuatayo pia yazingatiwe:

  Uwepo na Company profile, MEMART, Certificate of Registration ikiwemo TIN na VRN. Kwa walio tayari walete taarifa zao kwangu kupitia email zifuatazo

  OLDMOSHI@GMAIL.COM , HOLLYMARO@GMAIL.COM
   
Loading...