Inasikitisha sana: Simba day ishafelishwa na tulioaminishwa ni wa kisasa

Isiwe nongwa Mfano mwingine ni huu..

Wachezaji hawajui kama ni jukumu lao kwenda kucheza vizuri uwanjani wapate matokeo? Kama wanajua mbona bado makocha na wamiliki wanawahamasisha na muda mwingine wanawatangazia hadi bonus wakipata matokeo mazuri?

Bado mfano huu hauendani na hoja yako ya Manara kwa Mashabiki,Kocha kazi yake ni kufundisha siyo kuhamasisha.Wachezaji kuahidiwa bonus ni sawa na Mfanyakazi yoyote anapopewa bonus pia.Haya Manara alikuwa anatoa bonus ipi ya kuhamasisha mashabaki?
 
Duh mkuu una kichwa kigumu kama tako la mtunisha misuli. mimi naishia hapa.
 
Simba ili kuondoa aibu ya kuto ujaza uwanja, wangetumia shamba la Bibi. Kutaka kushindana na Wananchi hawawezi, Wananchi hawaitaji promo wenyewe wanakwenda kwa mapenzi.
Hili jambo nadhani ulipata majibu yake kwenye mapokeo ya jezi mpya
 
Ndiyo uache kuleta hoja isiyo na kichwa wala miguu.Usidhani hapa tumeshikiwa akili na Manara kama Mashabiki wa Utopolo.
Mimi nilikua shabiki wa Simba wa kimyakimya coz niliona soka la bongo mizinguo ila maneno ya Manara yalinivuta kunifanya nianze kufuatilia mechi za Simba. Jamaa ana kasoro zake ila kazi yake anaiweza.
 
Kama kuna hujuma hao lazima ni Yanga!
Nimeshangazwa eti mechi hizi zote walizopoteza, wanawataja Simba!
Jamani wachezaji kama kina Feitoto wameshindwa kukwamisha mpira wavuni akiwa ndani ya 6 unakuja kuwataja Simba!!!
Na wale mnaomsifu Manara na kuona kanakwamba Simba itapoteza sana kutokana na kutowepo kwake , Vipi mbona huko Yanga aliko hadi sasa mambo ni magumu ? Au bado hajaanza kazi???
Yanga tunawaambi siku zote kuwa mtakujapata mafanikio kisoka pale tu mtakapoachana na mpira wa maneno mengi badala ya mpira wa matendo makali kama alivyotuambia Mama!
 
Watajwa hapo juu katika Headline yangu acheni Kutumia Uyanga wenu uliopitiliza kwa Kuihujumu Simba SC kwa kupitia Madaraka yenu ya Kiserikali mliyonayo kwani msipoangalia mtaleta Chuki, Mgawanyiko na kumfanya Rais Samia achukiwe na wana Simba SC kisha imgharimu pia Kisiasa.

Tunajua kuwa mpo katika Kikosi Kazi Maalum cha wana Yanga SC walioko Serikalini na wenye Nyadhifa Kubwa kutumika Kuihujumu Simba SC kwa kila namna kwa Maagizo ya Mstaafu Mmoja mwana Yanga SC lia lia mwenye Ushawishi mkubwa katika Serikali hii ya Rais Samia ( Bi. Hangaya )

Waziri Dk. Nchemba unajulikana hujawahi kuipenda Simba SC na kuna Kipindi ulipokuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ulitumia Nguvu kubwa sana Kuihujumu Simba SC pale ilipocheza na Prisons FC ya Mbeya ila wana Simba SC tulikunyamazia kwakuwa tumetawaliwa na Uungwana Uliotutukuka.

Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk. Abbas Wewe ndiyo hata huwa hufichi Chuki zako za Wazi kwa Klabu ya Simba na ndiyo maana ulipokuwa Msemaji wa Serikali hukupenda kabisa Umaarufu mkubwa wa aliyekuwa Msemaji wa Simba SC Haji Manara uendelee na ulimkalia sana Vikao vya Kumchukulia Hatua ila Busara za Wakubwa wako zilitawala na ukatulia japo hukumpenda kwa alikuwa akikufunika Kiumaarufu Tanzania.

Waziri Dk. Nchemba na Katibu Mkuu Dk. Abbas msidhani wana Simba SC tulio na Akili nyingi na kubwa ( za Kuzaliwa nazo ) tena za Kuwazidi japo mna Doctorates zenu akina Mightier hatujui nini mnakifanya katika Kuihujumu Simba SC kwa Kushirikiana na Watu wa Data akina N-CARD ili Klabu ya Simba ikose Mapato na katika Siku ya Simba Day Jumapili tarehe 19 Septemba, 2021 Uwanja usijae ili nyie Wana Yanga SC Waandamizi na Yanga SC wengine muicheke Simba SC kuwa haikujaza katika Tamasha lao kama lenu.

Mwisho namalizia tu kwa Kuwataarifu Waziri Dk. Nchemba na Katibu Mkuu Dk. Abbas kuwa Klabu ya Simba leo kupitia Matawi yake yote inafanya DUA ya Kuiombea Baraka Klabu na ya Kuwaombea MABAYA wale wote wenye Hila, Husuda na Roho Mbaya dhidi ya Simba SC na Wanatumika kwa kila namna katika Kuihujumu.

Msije tu kusema Mightier sikuwaonyeni.
 
Pambaneni acheni kulia lia...
 
Acheni uswahili, afu hii kutaja taja watu bila ushahidi ndio mnawapa akina Melo kazi ya kushinda mahakamani kupigania watu walioropoka huku.
 
Back
Top Bottom